CHADEMA kushinda vibaya uchaguzi ujao ikiwa itazingatia yafuatayo;

M

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
156
Likes
0
Points
0
Age
26
M

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined Oct 28, 2012
156 0 0
1.kutumia vizuri wabunge wake inje na ndani yA Bunge katika kuibua hoja na kuzisimamia vizuri kamda bado kapo kidogo, miezi kama 17 hivi.
2.kuingia vijijini kwenda kuhamasisha harakati na kuwajulisha wananchi namna ambavyo serikali ya CCM inawakandamiza kwenye bei za mazao yao, shida yA kodi kwenye bidhaa, matatizo ya ardhi vijijini, afya na elimu duni kwa vijana wetu.
3..Makanda kurudi jukwaani kwa nguvu kubwa kupiga mikutano na wanainchi kuwakumbusha shida iliyopo kwa kuendelea kuwa na CCM mfano tunamatatizo lukuki kwenye uwekazi kagika nishati na madini sera haijawekwa wazi na watawala, Elimu yetu imekufa kabisa, Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa hapa inchini, Ubovu wa miundombinu mahospitalini, ugumu wa maisha kwA ujumla n.k
4.kumfukuza kabisa bwana ZITO and his company, itakuwa msaada sana.kubali usikubale huhu sasa ni kirusi katika harakati haaminiki tena.
.
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0

100% Kamanda... Hapo Umevunja Chungu Cha tojwa... huo ndo Ukweli, pia 2waepuke Washenzi wanao2zingua
 
mjasiliaupeo

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2013
Messages
1,606
Likes
1,689
Points
280
mjasiliaupeo

mjasiliaupeo

JF-Expert Member
Joined Apr 21, 2013
1,606 1,689 280
hiyo pwenti namba 4 inahusika sana mkuu
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Chadema ndo 2maini Pekee la Watanzania na Chadema ni Taasisi ya Watu na Chadema sio ya Mtu au ya Kikundi Cha Watu, hivyo PM7 ya akina Zitto, Mwigamba na Kitila Isambaratishwe kabla ya Chadema kama alivyosema Wassira ili Waumbuke wao Kabla yetu, Walahi Kamati Kuu Ikimbakiza Zitto Chamani itawalazimu Kuwaacha Mkumbo na Mwigamba ambao nao Wanastahili kufukuzwa manaake Wamekiri Makosa yao, Vilevile wasiwaache ndani ya Taasisi kwa Sababu tu ya Umaarufu wao, hii Itatufanya nasi Wanachana 2hoji kuhusu Kufukuzwa kwa akina Juliana Shonza ambao nao pia Walikisaliti Chama, hivyo basi, Makamanda wa Jijini Mwanza, Arusha, Mbeya, Dar na Tanga 2nahitaji Wote Wafukuzwe, Salaam zangu za People's Power Zimfikie Mh. Tundu Lissu, Dr. Slaa, Mh. Mbowe, Mh. Lwakatare, John Mnyika, Mh. Wenje, Halima Mdee na Peter Msigwa, Mh. Lema na Mh. Sugu kwa Kazi na Juhudi zao Makini za Kuwa na nia ya Kutuvusha Salama katika Kipindi hiki Kigumu Ingawa Inawauma wale Magamba Sugu wa Upande wa Kijani..
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Natoa hai Kwa: Gerald Shirima akiwa Mwanza, Ben Saanane, Mungi na Makamanda wengi wengi wanaopambania harakati hizi za Kumng'oa Mkoloni Mweusi CCM 2014/2015... Piiipooozz...
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
hiyo pwenti namba 4 inahusika sana mkuu
Daah! hiyo Pointi No: 4 ni ya Muhimu sana, hivyo Kamati Kuu... 2naomba Zitto na Wenzake Waondolewe haraka sana baada 14 Days!
 
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined
Nov 30, 2013
Messages
835
Likes
2
Points
0
Age
26
K

Kamanda Francis

JF-Expert Member
Joined Nov 30, 2013
835 2 0
Siku hiyo nitachinja kitoweo aina ya ndege tusherehekee na familia.
Mpuuzi Kabisa wewe, huamini nini hapo?
 
H

Haji Salum

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2013
Messages
1,022
Likes
9
Points
0
H

Haji Salum

JF-Expert Member
Joined Nov 27, 2013
1,022 9 0
Kuna point moja umesahau, TUME HURU YA UCHAGUZI ni muhimu. Bila tume huru ya uchaguzi CCM watachakachua matokeo kama kawaida yao.
 
ngoogle

ngoogle

JF-Expert Member
Joined
Dec 5, 2012
Messages
210
Likes
5
Points
0
Age
36
ngoogle

ngoogle

JF-Expert Member
Joined Dec 5, 2012
210 5 0
Samahani,
umepitia shule, ok kama ndivyo unajua maana ya neno "vibaya". Hebu rejea ktk kichwa cha habarii yako hapo juu.
mhhhhhhh........mantiki hola
1.kutumia vizuri wabunge wake inje na ndani yA Bunge katika kuibua hoja na kuzisimamia vizuri kamda bado kapo kidogo, miezi kama 17 hivi.
2.kuingia vijijini kwenda kuhamasisha harakati na kuwajulisha wananchi namna ambavyo serikali ya CCM inawakandamiza kwenye bei za mazao yao, shida yA kodi kwenye bidhaa, matatizo ya ardhi vijijini, afya na elimu duni kwa vijana wetu.
3..Makanda kurudi jukwaani kwa nguvu kubwa kupiga mikutano na wanainchi kuwakumbusha shida iliyopo kwa kuendelea kuwa na CCM mfano tunamatatizo lukuki kwenye uwekazi kagika nishati na madini sera haijawekwa wazi na watawala, Elimu yetu imekufa kabisa, Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa hapa inchini, Ubovu wa miundombinu mahospitalini, ugumu wa maisha kwA ujumla n.k
4.kumfukuza kabisa bwana ZITO and his company, itakuwa msaada sana.kubali usikubale huhu sasa ni kirusi katika harakati haaminiki tena.
.
 
manning

manning

JF-Expert Member
Joined
Apr 1, 2013
Messages
3,528
Likes
116
Points
160
manning

manning

JF-Expert Member
Joined Apr 1, 2013
3,528 116 160
Nakuunga mkono mkuu, njia ya kumaliza mzozo huu ili usiendelee kudhuru chama ni kuondoa mzizi wa matatizo mapema iwezekanavyo.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
Sijui unazungumzia chadema ipi make hii ilishakufa kitambo kwa sasa ni maombolezo tu.
 
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2013
Messages
18,936
Likes
1,600
Points
280
Simiyu Yetu

Simiyu Yetu

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2013
18,936 1,600 280
1.kutumia vizuri wabunge wake inje na ndani yA Bunge katika kuibua hoja na kuzisimamia vizuri kamda bado kapo kidogo, miezi kama 17 hivi.
2.kuingia vijijini kwenda kuhamasisha harakati na kuwajulisha wananchi namna ambavyo serikali ya CCM inawakandamiza kwenye bei za mazao yao, shida yA kodi kwenye bidhaa, matatizo ya ardhi vijijini, afya na elimu duni kwa vijana wetu.
3..Makanda kurudi jukwaani kwa nguvu kubwa kupiga mikutano na wanainchi kuwakumbusha shida iliyopo kwa kuendelea kuwa na CCM mfano tunamatatizo lukuki kwenye uwekazi kagika nishati na madini sera haijawekwa wazi na watawala, Elimu yetu imekufa kabisa, Madawa ya kulevya ni tatizo kubwa hapa inchini, Ubovu wa miundombinu mahospitalini, ugumu wa maisha kwA ujumla n.k
4.kumfukuza kabisa bwana ZITO and his company, itakuwa msaada sana.kubali usikubale huhu sasa ni kirusi katika harakati haaminiki tena.
.
Bavicha wengi hata darasa la nne sijui hamjafika kushinda vibaya ndiyo ushindi gani,hata hivyo zitto hafukuziki chadema.
 
M

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
156
Likes
0
Points
0
Age
26
M

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined Oct 28, 2012
156 0 0
Bavicha wengi hata darasa la nne sijui hamjafika kushinda vibaya ndiyo ushindi gani,hata hivyo zitto hafukuziki chadema.
Unapajua hata Simiyu we mbulula au unajiongelea tu mjinga we
 
M

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined
Oct 28, 2012
Messages
156
Likes
0
Points
0
Age
26
M

Mhonzuyadilu

Senior Member
Joined Oct 28, 2012
156 0 0
Samahani,
umepitia shule, ok kama ndivyo unajua maana ya neno "vibaya". Hebu rejea ktk kichwa cha habarii yako hapo juu.
mhhhhhhh........mantiki hola
Shule za babu yenu nyinyiemu bahati mbaya hazina hata waalimu sasa ningesomea wapi ili kukizi matakwa yako
 
Forum statistics

Threads 1,252,210
Members 482,049
Posts 29,800,593