CHADEMA kusambaratika ndani ya mwaka mmoja ujao - Wassira

Hivi yule waziri wa maliasili na utalii hajaanza kazi rasmi!!? Mbona harudishi wanyama waliotoroshwa mbugani na kupelekwa ikulu eti wazungu wasipate tabu ya kwenda maporini!!?
Bado yuko usingizini na ndotoni angelipewa wizara ya usingizi na vyandarua vya kuzuia malaria wasira.jpg
 
Waziri wa nchi ofisi ya Rais Mahusiano Stephen Wassira amesema chama cha Demokrasia na Maendeleo-CDM kitakumbwa na mgogoro mkubwa ndani ya kipindi kifupi kijacho.Wassira amesema mgogoro huo ndio utakaopelekea kusambaratika vibaya chama hicho na kubaki historia hapa nchini.Amesema mgogoro huo utahusiana na Uongozi na kuwaomba wananchi wavumilie kidogo ili washuhudie anachokisema.
Wassira amesema CDM ni chama cha hovyo na cha ajabu kilichojaa ubinafsi wa hali ya juu.Amesema CDM kimekuwa kikipinga kila kinachofanywa na serikali ya CCM na kwao CDM hakuna zuri la CCM tangu uhuru wa Taifa hili.

Source:Majira Jumapili.

Uhuru wa taifa hili? Lipi? Tanganyika au Zanzibar. Ungesema labda baada ya Muungano. Wasira hamna kitu kabisa. Kwanza we mwenyewe umeshasambaratika toka ile picha bungeni, na kule Arumeru. sambaratika vyema.
 
  • Thanks
Reactions: GIB
Isaya 54:17,Kwilasa silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa na Kwilasa bulimic utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa ni makosa........!

"Listen Ccm, chadema its not only a party! Its a point of change an revolution to our country! I'm trying to imagine bila chadema kutumiwa na Mungu kwa ajili mambo yote Haya toka. 205 hadi leo tingekuwa wapi? So tanzanians we are praying for t! Na Mungu atasimama kutitetea!
 
Hivi yule waziri wa maliasili na utalii hajaanza kazi rasmi!!? Mbona harudishi wanyama waliotoroshwa mbugani na kupelekwa ikulu eti wazungu wasipate tabu ya kwenda maporini!!?

Tumwogope Mungu. Tujadili dhana zetu, sio maumbile yetu.
 
ukisoma zile stages za mtu anaekaribia kufa mojawapo kati ya zile signs inaonyesha kitu kinachoitwa DENIAL yaani unakataaa na hutaki kukubali kwamba sasa unakufa, unaamini kwamba utapona tu na utarudi na kuendelea na majukumu yako, ndio utaskia mgonjwa anasema nikipona tu ntamalizia ile nyumba yangu, kisha hali inafikia mahali unaingia kwenye ACCEPTANCE, sasa naona huyu DINGI yeye yuko kwene stage ya DENIAL anaamini kuwa CCM inapitia ugonjwa flani na itapona na kuendelea kutawala ila nashukuru pia baadhi yao wamekubali (ACCEPTANCE) kuwa sasa CCM inakufa ndio maana wanataka RECONCILIATION (SP) na wananchi, ntaendelea baadae ngoja nipate komunio kwanza
 
Hakika bado nashindwa kuamini kama waziri wa serikali anaweza kuropoka ushetani kama huu.
 
Wasira ni mtu makini sana kwa kiasi kikubwa ndio aliofanikisha ziara ya Chadema Ikulu kwenda kuonana na Rais Kikwete, anachosema siwezi kukataa ni suala muda tu...kuna mitengo yake kaitenga ndani ya Chadema, hata kule Mwanza ni mkono wake.
 
Huenda alishatega timing bomb huko CDM na anaona linakaribia kulipuka! Haya mambo ya siasa magumu kweli. Watu hatukuamini kama NCCR ingesamabaratika na kubaki historia. Nikikumbuka NCCR ya 1993 ikaja ile ya Mrema ya 1995 na kisha ukaja ule msambaratiko wa Tanga naogopa. Nikikumbuka akina Marando, Selasini na Komu kuwa walikuwepo Tanga siwezi kusema kitu hadi tufike 2015 na kuipita CDM ikiwa salama.
Kauli kama hizi ni kero kwetu wanachama hai wa NCCR, sisi hatujabaki historia tupo na tunaendelea kuwepo. Maneno yenu mengine yanatukosea adabu
 
Huenda alishatega timing bomb huko CDM na anaona linakaribia kulipuka! Haya mambo ya siasa magumu kweli. Watu hatukuamini kama NCCR ingesamabaratika na kubaki historia. Nikikumbuka NCCR ya 1993 ikaja ile ya Mrema ya 1995 na kisha ukaja ule msambaratiko wa Tanga naogopa. Nikikumbuka akina Marando, Selasini na Komu kuwa walikuwepo Tanga siwezi kusema kitu hadi tufike 2015 na kuipita CDM ikiwa salama.
like,,,,,,,mkizungo like dis:spy:
 
Wasira ni mtu makini sana kwa kiasi kikubwa ndio aliofanikisha ziara ya Chadema Ikulu kwenda kuonana na Rais Kikwete, anachosema siwezi kukataa ni suala muda tu...kuna mitengo yake kaitenga ndani ya Chadema, hata kule Mwanza ni mkono wake.
wewe na wasira mnashabihiana sana
 
Back
Top Bottom