Mhe. AJAYE
Member
- Dec 20, 2013
- 32
- 6
"Dalili ya mvua ni mawingu" ni dhahiri kuwa 2015 cdm ipo hatarini kupoteza jimbo hilo, kuna kila dalili na sababu ziko wazi kwa jimbo hilo kwenda ccm, Naomba niwape sababu/utetezi wang:~ 1, Kwanza jimbo walilipata kwa bahat baada ya ccm kucheza rafu ndan ya dk 90(kura za maon) 2, Huyu Prof(mbunge) haendani kabisa na siasa/harakati za cdm 3, Ahadi nying hazijatekelezwa mpaka leo wakat ingekuw mpira tayar dk ya 70, sasa atafunga lin(kutekeleza ahadi zake)? Mapendekezo:~ Kama cdm wanataka kukutea jimbo lao wafanye yafuatayo 1. Huyu Prof wasije wakarogwa wamurudishe kugombea tena/piga chn pamoja na Elimu yake 2. kwa siku chache zilzobaki naomba viongoz wakubwa(influencial leaders) wapende kutembelea na kutimiza walau ahadi chache za huyu Mhe. 3, Jipangen kudhibiti rushwa ndan ya chama maana inasemekana wenzenu wajipanga kununua mgombea yeyote mtakaemuweka, 4, Jimbo hilo huwa lina dalili za ukabila(WASUBWA, WAHA na WASUKUMA) kuwen makini na hayo.!