figganigga
JF-Expert Member
- Oct 17, 2010
- 25,658
- 55,487
Taarifa ya gharama za uchaguzi ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kwa Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015, iko tayari. Japo Muda wa vyama vya siasa kuwasilisha taarifa hizo kwa Msajili wa Vyama vya Siasa, kwa mujibu wa Sheria ya Gharama za Uchaguzi, haujaisha.
Naomba kuwataarifu kuwa taarifa ya CHADEMA itawasilishwa kesho Juni 25, ofisini kwa Msajili.
Asante.
Makene
Naomba kuwataarifu kuwa taarifa ya CHADEMA itawasilishwa kesho Juni 25, ofisini kwa Msajili.
Asante.
Makene