CHADEMA kupata pigo kubwa la kisiasa ndani ya wiki mbili zijazo!

mkuu umeshaanza kushangilia wakati bado mechi haijapigwa?

Angalia usije kuingia mitini ndugu.
 
Ndani ya wiki mbili zijazo CHADEMA watagundua kwamba wananchi walishawapuuza, japo mwaka 2012 CHADEMA walitumia helkopta 3 katika kata 3 bila mfanikio hili la sasa litakuwa aibu kubwa kwani huenda mtu wakapigwa 20 kwa 0. Wanajidanganya kwenye mitandao kwa kuajiri watu wenye kazi moja tu kumiliki akaunti nyingi ili kupotosha bila kujua huko chini kunaendelea nini.

Kipigo hiki hakiepukiki huku tayari goli la kwanza limeshafungwa katika dakika y kwanza ya mchezo siku ambayo NEC walipotangaza kuanza kwa kampeni hadi sasa ni moja bila, tuendelee kujifariji kwa matusi na kejeli ila baada ya hapo ni mgogoro mkubwa wa kumtafuta mchawi.

Huko Dimani Unguja ni suala la kusubiri kutangazwa ushindi wa CCM kwa nafasi ya ubunge.

Watu wanaongea mambo mengi bila uhalisia wa maeneo husika, mtu anajipinda kuongopa kwa kutoa habari za sehemu asiyokuwepo. Ajizi nyumba ya njaa!.
Umekula? Au baba yko mkubwa wa kaya hajakupa posho yako maana unaropoka tu na domo lako. Km chung cha mganga
 
Tunaelewa mnatumia wakuu wa mikoa,wakuu wa wilaya,Ma RPC,Polisi,Jeshi,Wakurugenzi wote ni UVCCM hivyo tunajua fika kwamba hata wakishinda CUF bado Mgombea wa CCM atatangazwa,hilo tunalijua usiwe na wasi wasi.

Tumeona Katavi ndicho wanachofanya kwa sasa na ushahidi upo
Kweni mnakosaga cha kujitetea!
 
CUF alijitoa kushiriki chaguzi ukiwemo wa marudio Zanzibar!
Kunani tena nawaona wako ulingoni wakirusha ngumi gizani? Mwkt kabadirishwa au Kuna nini kimebadili uamuzi wao huo murua kabisa!
Vyama vyetu vya Upinzani vinajitia kitanzi vyenyewe taratibuu! Japo tulikuwa na nia ya dhati kabisa kuviasisi mnamo miaka ya 1992.
 
Back
Top Bottom