Elections 2010 Chadema kuongoza Halmashauri 13 nchi nzima....................

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,172
Pamoja na NEC ya CCM kuchakachua matokeo na kumtawaza JK ambaye siyo chaguo letu, imehabarishwa na gazeti MZAWA la leo kuwa Chadema kuongoza Halmashauri 13 na baadhi yake ni Muleba, Arusha, Mwanza, Karatu, Moshi............jazilizeni zilizobaki...............

Ninaomba kuwakilisha..........................
 
jmla kuna halmashauri ngapi nchi nzima? na 13 ni asilimia ngapi ya zote?
 
Arusha Mjini
Moshi Mjini
Hai
Rombo
Hanang ( Mbunge wa ccm lakini madiwani wengi wa CHADEMA)
Mbulu
Karatu
Ubungo
Kawe
Muleba
Tarime ( Mbunge wa ccm madiwani chadema)
Nyamagana
Ilemela
 
Ilemela, Nyamagana zote zitakuwa manispaa rasmi kuanzia uchaguzi wa mwaka huu ambazo kwa pamoja zitaunda halimashauri ya jiji la Mwanza.

Ubungo siyo halimashauri. Ubungo, Kinondoni na Kawe zote kwa pamoja ni sehemu ya manispaa ya Kinondoni
 
jijibu mwenyewe shetani we

HAta yesu aliambiwa ana pepo na anatoa pepo kwa mkuu wa pepo......!
kama mtume Paulo nami nasema......kuhusu kukjua MUNGU wa kweli ni ukristo...nami ni mkristo wa wakristo......tangia sasa mtu asinitaabishe kwani nimezibeba mwilini mwangu chapa zake KRISTO.......!
oooh sorry...kumbe wewe ni mtani wangu....... angalia usije jinyonga kwa maudhi haya....hivi kale ka-mbwa umeshakamaliza?
 
Pamoja na NEC ya CCM kuchakachua matokeo na kumtawaza JK ambaye siyo chaguo letu, imehabarishwa na gazeti MZAWA la leo kuwa Chadema kuongoza Halmashauri 13 na baadhi yake ni Muleba, Arusha, Mwanza, Karatu, Moshi............jazilizeni zilizobaki...............

Ninaomba kuwakilisha..........................

Ukerewe,
 
HAta yesu aliambiwa ana pepo na anatoa pepo kwa mkuu wa pepo......!
kama mtume Paulo nami nasema......kuhusu kukjua MUNGU wa kweli ni ukristo...nami ni mkristo wa wakristo......tangia sasa mtu asinitaabishe kwani nimezibeba mwilini mwangu chapa zake KRISTO.......!
oooh sorry...kumbe wewe ni mtani wangu....... angalia usije jinyonga kwa maudhi haya....hivi kale ka-mbwa umeshakamaliza?

Mbona hata Signature yako inatia shaka kuwa wewe siyo mkristo? Maana mkristo wa kweli na rushwa ni vitu viwili tofauti.
Naomba ubadilishe hiyo Signature ndugu yangu kama kweli wewe Mkristo au Muumini wa Mungu.
 
Arusha Mjini
Moshi Mjini
Hai
Rombo
Hanang ( Mbunge wa ccm lakini madiwani wengi wa CHADEMA)
Mbulu
Karatu
Ubungo
Kawe
Muleba
Tarime ( Mbunge wa ccm madiwani chadema)
Nyamagana
Ilemela
Iringa Mjini (Mbunge na madiwani big %)
 
So far ambazo nina uhakika nazo ni

1: Halmashauri ya Jiji la Arusha
2: Halmashauri ya Jiji la Mwanza

3: Halmashauri ya Mji wa Moshi
4: Halmashauri ya Wilaya ya Ukerewe
5: Musoma Mjini
6: Kigoma Mjini
7: Karatu
8: Mbulu
9: Hanang

NB: Kwenye Red Sina Uhakika sana
Kwenye Blue zinawauma sana CCM na ni nguvu ya uma ndiyo iliyosababisha wakubali Matokeo
 
Nilitegemea CHADEMA wachukue angalau manispaa moja Dar lakini inaelekea imeshindikana.

Mabadiliko yanafanywa mikoani wakati Dar kwa wajanja wako pale pale.
 
Back
Top Bottom