CHADEMA kuongea na wanahabari leo

figganigga

JF-Expert Member
Oct 17, 2010
25,492
54,890
Chama cha demokrasia na maendeleo, kitaongea na waandishi wa habari leo saa sita mchana makao makuu ya chama.

Waandishi wameombwa kufika bila kukosa.

My Take:

Ni aibu kwa chama kikubwa kama chadema kuruhusu CCM wapite bila kupingwa hata Dar penye ngome yao. Je, Mubenea, Lowassa, Sumaye, Mahanga na wengine wengi, walikuwa wanafanya nini wasisimamie hili?
 
Mkuu USIWALAUMU CHADEMA kwa hizi chaguzi sababu sasa TZ hakuna uchaguzi bali ni VITUKO tu!
CCM haitaki tena kushindana kwenye sanduku la kura bali ni kuzuia tu wagombea wa CDM wasirudishe form!
Hamna sehemu CDM ilikosa wagombea,ona kule kwetu Tunduma watu waliokuwa wameteuliwa kugombea na wadhamni wao wamepewa barua kama wao sio raia wa TZ, hukumu ikapita hapo hapo kama "kweli sio raia"na CCM wakatangazwa wamepita bila kupingwa!
MAHAKAMA inaweza warudishia uraia wao lkn kwenye udhamini na kugombea muda utakuwa umepita!
Hakuna uchaguzi tena TZ,ni upuuzi tu umebaki
 
Mkuu ni vema ukawasikiliza kwanza badala ya kuwalaumu , siasa za Magufuli ni siasa za mauaji kila mwenye macho ameona , ukiweka lawama bila kujua kinachoendelea utakuwa hutendi haki
 
Chadema kinakufa wazi wazi.

Tatizo sio la chadema, tatizo ni katiba ambayo inempa rais Mamlaka kubwa sana.
Rais anateua tume ya uchaguzi.
Mimi kama tume nimepata zali la kuteuliwa iweje nimuangushe mteuaji wangu?
Simple logic.

Mimi nadhani Chadema wasitupigie makelele.
Waachane na siasa
 
Chama cha demokrasia na maendeleo, kitaongea na waandishi wa habari leo saa sita mchana makao makuu ya chama.

Waandishi wameombwa kufika bila kukosa.

My Take:

Ni aibu kwa chama kikubwa kama chadema kuruhusu CCM wapite bila kupingwa hata Dar penye ngome yao. Je, Mubenea, Lowassa, Sumaye, Mahanga na wengine wengi, walikuwa wanafanya nini wasisimamie hili?
Baada ya hapo waende wakalie lie ubalozi wa Ulaya.
 
Sumaye, Lowassa the Boss alisema ataendelea kuwalinda,kuwaheshimu na kuwapa stahiki zao(pensheni) unadhani watafanya nini tena hapo?

Ndo basi tena
 
Waandishi wameombwa kufika bila kukosa.
Zamani walikuwa wanajileta wenyewe asubuhi asubuhi yamekuwa haya tena,amaa kweli Chadema ndio kinaishia hivyo,swali ni jee nani atajaza ombwe hilo TLP?!!ACT?!!JAHAZI ASILIA,!!Anyway time will..
 
Zamani walikuwa wanajileta wenyewe asubuhi asubuhi yamekuwa haya tena,amaa kweli Chadema ndio kinaishia hivyo,swali ni jee nani atajaza ombwe hilo TLP?!!ACT?!!JAHAZI ASILIA,!!Anyway time will..
Upinzania hautakiwi Tanzania .......ila tunaogopa kusema ukweli ....
 
Back
Top Bottom