Janjaweed
JF-Expert Member
- Jan 20, 2010
- 13,157
- 10,655
Hawa jamaa wamekua kama tbc tu - poor contentTAARIFA KWA UMMA
Leo jumamosi saa Saba kamili mchana tutafanya mkutano na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama Kinondoni, Waandishi wote mnakaribishwa .
Tunashauri kuzingatia protocol zote za Kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.
Muhimu : Tusisahau mwongozo wa WHO wa kujikinga na Corona
kina haja ya kuifumua chadema na kuisuka upya kabisa
sasa hivi hata mission statement yao haijulikani