CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari Makao Makuu ya Chama

Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .

Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .

Wote mnakaribishwa .

View attachment 1816085
SAFI KABISA NITAKAA SITI YA MBELE KUSIKILIZA MREJESHO WA MAPATO NA MATUMIZI WA SADAKA ZETU TULIZOCHANGISHWA KIPINDI KILE CHA KAMPENI.
 
Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .

Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .

Wote mnakaribishwa .

View attachment 1816085
... huu mkutano ulifutwa? This is wrong kutoa ahadi za uongo! Haifai kwa chama kikubwa kama Chadema; mnakosea sana.
 
Taarifa ya ghafla iliyosambazwa na Chama hicho inaeleza kwamba Mkutano huo utafanyika saa 7 kamili mchana wa leo , kwenye makao makuu ya Chama hicho Nje ya Jiji la Dar es Salaam , Kinondoni , Mtaa wa Ufipa .

Waandishi mtakaohudhuria mnaombwa kufuata muongozo wa WHO wa kuzuia maambukizi ya virusi vya Corona .

Wote mnakaribishwa .

View attachment 1816085
SAA saba mchana bado? Mbona hatupati mrishonyuma?
 
Mtoa post umejidhalilisha binafsi, umemdhalilisha mwenyekiti wako na umekidhalilisha chama chako cha Chadema. Tuliishawaambia uongo na uzushi haviwasaidii na havitawasaidia. Haya Press Conference iko wapi?
 
Back
Top Bottom