CHADEMA kuongea na waandishi wa habari Makao Makuu ya Chama

Mkuu ukitaka tufunguke kuhusu kitila mkumbo utakimbia hapa jukwaani
Mkuu hebu funguka tuone, tena ufunguke kwa wote wawili, kitila na BAK ili tuone nani ni zwazwa. Au ukishindwa hilo basi ufunguke kuhusu Kitila na mimi nifunguke kuhusu BAK, then tuone.
 
Tumewachoka fanyeni kazi, kila siku ni kuogea na wana habari, kaongeeni na wananchi, mwishoni mtakuwa mnaongea majungu tu.
Wewe na nani mkuu umewachoka? vipi ile ya mubashara na Tv kuanzia asubuhi hadi jioni huchoki.
 
Baada ya mkutano huo, kitakachosemwa hapo kitamtoa pangoni kama kweli anao uwezo wa kutoka huko!

Hawa vikaragosi, akina Madilu watatishia sana, lakini hakuna sheria ya kuzuia yanayohitaji kusemwa.
 
Funguka sasa. Acha kutishia nyau wewe kamanda uchwara.
CHADEMA wazungumzie hata

1. Hatma ya wanaoitwa wabunge wao 19
2. Kwa nini mkutano mkuu haufanyiki
3. Hali ya siasa nchini na hatma ya siasa za upinzani
4. Hivi kweli ni realistic kuendelea kuamini Tundu Lissu ni kiongozi wa Chama, wakati hayupo Tanzania. He does not involve himself in active politics
 
CHADEMA siku hizi press zenu hazina mvuto kabisa.Na nyie mnajua.Mnajaribu tu kujitafutisha kick lakini wapi.Press zenu sasa hivi zimebuma na hazina mwitikio
 
Utabiri wangu juu ya Makuu yatakayoongelewa leo....

1. Janga la Corona
2. Kusingiziwa Kufa kwa Makada
3. Hali ya Kiuchumi
4. Sakata la Wabunge Viti Maalum
5. Matamko ya Kutishia Wakosoaji
6. Kesi za Makada wao Mahakamani
7. Sintofahamu ya Mukulu Bilanga

Sijui mkeka huu utatiki / utachanwa leo!
 
Back
Top Bottom