Kirokonya
JF-Expert Member
- Jun 5, 2017
- 2,280
- 7,535
Waliwahi kusema mikutano yao itakua Online, huu sijui veeepeee!Kumbe na wao hawaogopi corona. Nikajua hawaruhusu mikusanyiko
Waliwahi kusema mikutano yao itakua Online, huu sijui veeepeee!Kumbe na wao hawaogopi corona. Nikajua hawaruhusu mikusanyiko
Mkuu hebu funguka tuone, tena ufunguke kwa wote wawili, kitila na BAK ili tuone nani ni zwazwa. Au ukishindwa hilo basi ufunguke kuhusu Kitila na mimi nifunguke kuhusu BAK, then tuone.Mkuu ukitaka tufunguke kuhusu kitila mkumbo utakimbia hapa jukwaani
Wewe na nani mkuu umewachoka? vipi ile ya mubashara na Tv kuanzia asubuhi hadi jioni huchoki.Tumewachoka fanyeni kazi, kila siku ni kuogea na wana habari, kaongeeni na wananchi, mwishoni mtakuwa mnaongea majungu tu.
CHADEMA wazungumzie hataFunguka sasa. Acha kutishia nyau wewe kamanda uchwara.
Kwa hiyo hakuna maprofesa mazwzwa?Kitila ni profesa, wewe ni mwalimu tu wa kawaida, zwazwa hapo ni nani?
Naam !!!! Chama tawala kijacho soon.. ....tupo tayari kukisikilizaMkuu ukitaka tufunguke kuhusu Kitila Mkumbo utakimbia hapa jukwaani
Tulia dawa iwaingie, babuloni anaangukaTumewachoka fanyeni kazi, kila siku ni kuogea na wana habari, kaongeeni na wananchi, mwishoni mtakuwa mnaongea majungu tu.
BAK anatumia ID fake tayari ni zwazwa. Mkumbo hafichi IDMkuu ebu funguka tuone, tena ufunguke kwa wote wawili, kitila na BAK ili tuone nani ni zwazwa. Au ukishindwa hilo basi ufunguke kuhusu kitila na mimi nifunguke kuhusu BAK, then tuone.
Umaarufu ACT ulibebwa na kifo Cha Maalim SeifHao jamaa wamesahaulika hatari. Yaani saiv hadi ACT-wazalendo wanawashinda