CHADEMA kuongea na Waandishi wa Habari kwenye ofisi za Makao Makuu ya Chama

Jamani mbona hamji huku vijijini kuongea na sisi wananchi tukawaeleza matatizo na mahitaji yetu ili myaongelee? Chadema ile ya zamani walikuwa wanafanya hivyo.
Nyie kila siku ni kuongea na wandishi wa habari tu!
Hujui kwamba CHADEMA hawaruhusiwi kufanya mikutano ya hadhara na kuongea na wananchi, tangu awamu ya 5?!
Ila wanaruhusiwa kuongea na wandishi wa habari 🤔🤔
 
Back
Top Bottom