CHADEMA kuongea na vyombo vya Habari kesho

Jamani wekeni hiyo akaunti ya Lissu haraka. Nina elfu kumi hapa niitoe fasta kabla sijaenda kwenye viti virefu!
 
Mimi sitoi hela yangu kuwachangia matajiri hata siku Moja.kila mtu aubebe msalaba wake mwenyewe
Hakuna atakayekuuliza kwa nini hukuchangia kama huoni gaida ya jitihada za TL. Ungekaa tu kimya! Mimi siyo tajiri lakini nitamchangia TL laki 1 kila mwezi maana najua sauti yake inaokoa wengi, tunaowajua na tusiowajua.
 
Back
Top Bottom