YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,911
- 51,889
Wakuu chadema Mgombea uraisi na mgombea mwenza wao 2015 wote wameondoka chadema. Alianza Juma Duni Haji mgombea Mwenza sasa mgombea uraisi kamalizia. Wataalamu wa political science mtusaidie hili ni nini? wenyewe chadema wanasema hakuna kitu kuondoka kwao si kitu