CHADEMA: Kuomba mara nyingi sio dhambi ni msisitizo

state agent

JF-Expert Member
Jul 1, 2019
1,764
2,511
Kumekuwawa na harakati za kutaka kufifisha maono ya RC wa dar kwa kile wanachokiita tulisha omba

Alianza mayor wa ubungo kusema eti pesa za hospital zilisha ombwa ,akaja Mbunge mtoro jimboni JJ mnyika akasema pesa hiyo ilisha ombwa hivi karibuni ameibuka mdee anasema pesa aliyoomba makonda alisha imba yeye

Nataka kuwakumbusha kuwa jambo linaweza kuombwa mara nyingi na bado likawa lilelile tu wananchi wanachohiyaji ni kuona project imekamilika bila kujari nani kaiomba au kaisimamia


Sina uhakika kwamba kwa sasa chadema imesha toa /ilisha toa kauli ya kukubali serkali ya awamu ya tano kuwa ni legitimacy government tangu waliposema hawaitambui na kukimbia bungeni rais alipohutubia bunge hadi leo wanaiomba miradi mnaomba serkali msiyo itambua (huu oungo)

Mtubu mapema mshirikiane kwa amani

State agent
 
Hao nyumbu uchaguzi huu November watashangaa majibu yake..

Viva Makonda
 
Bashite anamwogopa Kamanda Halima
 

Attachments

  • IMG_20191102_141015.jpg
    IMG_20191102_141015.jpg
    29 KB · Views: 1
Back
Top Bottom