Chadema kunyimwa usingizi na chaguzi za ccm na kuwa na hoja za vipindi inatia shaka | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kunyimwa usingizi na chaguzi za ccm na kuwa na hoja za vipindi inatia shaka

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mmwaisoba, Oct 7, 2012.

 1. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #1
  Oct 7, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kulikoni wana M4C, kila kikicha sasa hivi hoja za chaguzi ndani ya CCM na vigogo kuchezeana rafu ndo topical issues ndany ya CDM. Kuna watu wanasema hii ni dalili ya kuingiwa kiwewe na mageuzi ndany ya CCM ambayo yanatapanga safu ya kuinyamazisha CHADEMA. Sasa ni hili la CDM kupoteza muda saana kumuandama Zitto linaleta shaka nyingine. Kunahaja ya CHADEMA kuonesha ukomavu kidogo na kuwa focused na si kudandia kila issue inayotokea nchini. Maana tulianza na Ole Milia, tukaja, Migomo ya wanavyuo tukaja Madaktari na Ulimboka, tukaja Mwangosi, tukaja Kinana kungatuka, mara Sumaye, Mara Kilango sasa ZITTO. Vipi wana mikakati CDM hamuoni kama chama kinakosa umakini kwa kutokuwa na focus kwenye issues????. Mie ni haya tu kwa leo
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Kakojoe ukalale! Hoja dhaifu
   
 3. kapotolo

  kapotolo JF-Expert Member

  #3
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 19, 2010
  Messages: 3,727
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  alhaji Almasi Omary, sijakuelewa, can u come again
   
 4. m

  mwinukai JF-Expert Member

  #4
  Oct 7, 2012
  Joined: May 3, 2011
  Messages: 1,448
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Sasa utajadili issue moja wakati kuna issues nyingi, Lakini kimoja cha msingi cha kuzingatia ni kuwa nini focused issue ya CCM kama siyo ufisadi? Nakushukuru kwa kufanya mazoezi ya kutoa ushauri siku nyingine unaweza ukabahatisha ukatoa ushauri mzuru so endelea...
   
 5. mwasipenjele

  mwasipenjele JF-Expert Member

  #5
  Oct 7, 2012
  Joined: Jun 2, 2012
  Messages: 527
  Likes Received: 212
  Trophy Points: 60
  man hujaeleka vizuri kwan hizo taarifa zako umezitoa wap zinaonesha hazina uhakika ndo maana hauna uhakika na unacho kisema
   
 6. C

  Curriculum Specialist JF-Expert Member

  #6
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 8, 2007
  Messages: 2,736
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Kama mfuatiliaji wa mambo utajua kuwa chadema tumejikita kwenye chaguzi ndogo za udiwani kunadi sera zetu! mambo chaguzi za ccm yanawahusu ccm!
   
 7. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #7
  Oct 7, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Taarifa zangu ni utafiti nilioufanya hata humu kwenye JF. Siku Kinana aliposema hataki tena kugombea CCM kulikuwa na jamaa fulani humu akatoa tafsiri potofu na kuwahadaa wakereketwa wa CDM kuwa kinana atajitoa CCM. Hata ile ys Sumaye kuna vijana wakasema Sumaye anajiandaa kuja CDM. Hii ya kuhangaika na Anne Kilango wakati CCM wakiamua kumpa UWT watampatuu inatia shaka kwani huwezi kumpigia debe Sophia Simba na kumpaka matope Kilango maana watu watasema tu unamuogopa. CDM imekuwa ikilia na ufisadi, Anne Kilango ni mtu alikuwa anabebwa sana na wana CDM kuwa huyu mama bwana ni kiboko na kamanda wa ufisadi. Sasa huu ni ukigeugeu unaofanya watu tusema CDM haina focus. Inahoja nyepesinyepesi za kudandia kila kukicha. Huwezi kushabikia kila kitu kuna vitu ni questionable hasa migomo na vurugu. Lazima CDM ijitofautishe na wanaharakati kama wakina Gisimba, Lweitama, Kitila na Majukwaa ya kisanii yaliyochipuka kama uyoga.
   
 8. m

  mgomba101 JF-Expert Member

  #8
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 1,788
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  Hoja dhaifu kutoka kwa mtu dhaifu.
   
 9. Ng'wanangwa

  Ng'wanangwa JF-Expert Member

  #9
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 10,175
  Likes Received: 892
  Trophy Points: 280
  ziko za aina mbili...ndogo na kubwa.

  naona umebanwa na kubwa.

  nenda maliwatoni.
   
 10. m

  mmwaisoba JF-Expert Member

  #10
  Oct 7, 2012
  Joined: May 20, 2012
  Messages: 434
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mara nyingi CDM haikubali ukweli natarajia kwa hili mtakubali tu yaishe. CDM inaanza kuelekea kwa TLP na NCCR mageuzi. Kwa nini ZITTO kabwe anaandamwa kupindukia, kwa nini chaguzi za CCM ziwe issues?. Ninahakika kuna watu makini CDM hata maprofesa watakuwa na muona kama wakwangu. Mbona huwa hautwasikii maprofesa Baregu na Safari, au Ndesamburo na Halima mdee wakikazania hoja hizi zote nilizoziulizia?Ni watu fulani wachache sasa angaliei bwana tunataka siasa madhubuti Tanzania siyo usaniii
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145

  Kwenye red: Sumaye naye CDM? Maana yeye kaenda mbali zaidi, leo kaitisha mkutano na waandishi wa habari Court Yard purposely kuongelea uchaguzi ndani ya CCM na rushwa!
   
 12. Nicholas

  Nicholas JF-Expert Member

  #12
  Oct 7, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 25,132
  Likes Received: 2,354
  Trophy Points: 280
  What if wao ndio wanachanganya mitambo ndani ya CCM na hivyo inabidi wawe very busy?kama wanaweza ongea na viongozi na wanachama wa calibre ya juu ni wazi kuwa wapo makini na hao viongozi kuwasikiliza huku wakijua agenda ni kurubunia ni dalili kuwa CCM yeyote ananulika wakati si kila mwana CDm ananunulika.NI siku utasikia wameonge na JK na JK akaja kwenye public akimumunya maneno kuhusu alichoongea.Kwa haraka CDM wanayo nguvu ya kuidabaisha CCM
   
 13. fugees

  fugees JF-Expert Member

  #13
  Oct 7, 2012
  Joined: Aug 13, 2012
  Messages: 2,587
  Likes Received: 390
  Trophy Points: 180
  ha ha ha ha ha ha. Hili ni vuuuzela siunakumbuka alikuja na UBABE WA CHADEMA WASOMI UDSM WA.....mods wakajua ni udhushi wakapiga chini kathread
   
 14. N

  NO EXCUSE JF-Expert Member

  #14
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 10, 2012
  Messages: 406
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 45
  CDM si chama cha msimu jamani? Na hapa mleta uzi ameongeza kuwa wana hoja za vipindi. Sasa kwa nini aseme inatia shaka? Si ndio vizuri kwa chama cha kudumu chenye hoja za kudumu ku take advantage katika kujiimarisha?
   
 15. T2015CCM

  T2015CCM JF-Expert Member

  #15
  Oct 7, 2012
  Joined: Sep 13, 2012
  Messages: 7,924
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Mleta siredi ana hoja sema wapokeaji imewagusa pabaya.tujadili issues tuache kejeli.kumshambulia mtu ni siasa mufilisi kabisa.
   
 16. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #16
  Oct 7, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 11,001
  Likes Received: 153
  Trophy Points: 160
  Huyu mleta thread ni kwamba ndiyo kaamka muda huu ama jamani?

  Hebu rudia unachotaka kusema! Maana haujasomeka kbs!
   
 17. k

  kapya Senior Member

  #17
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 5, 2012
  Messages: 153
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  the same party,same mind,same system,with the same attitudes never change the history of tanzania"give chance others.
   
 18. Bartazar

  Bartazar JF-Expert Member

  #18
  Oct 7, 2012
  Joined: Oct 4, 2011
  Messages: 805
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 45
  Unachongea wala kukiamini na ndio maana hakuna hoja mahsusi ya kutuweka kwenye mjadala! Usizifanye hisia zako kuwa ni uhalisia, fungua akili yako uuone ukweli, japo mchungu. Ukweli utakuweka huru!
   
 19. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #19
  Oct 7, 2012
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Almasi Omary ni dhahiri kwamba wewe bado mdogo sana kisiasa na kijamii. Hapa JF tunaleta na kujadili hoja za vyama vyovyote vya siasa, serikali, NGO, dini na mengine mengi.
  Hapa JF sisi ni familia moja pamoja na kuwa kila mmoja ana itikadi yake ya kisiasa ama kidini.
  Inaonekana wazi kwamba wapenzi wa Chadema ndio wenye nguvu na moyo wa kuleta habari zinazotokea hapa nchini toka kona mbalimbali za nchi hii kwa lengo la kuwajulisha wanaJF kinachojiri huko waliko.
  Sasa usipojua wajibu wako kama mwanaJF utaishia kushangaa hata vitu visivyoshangaza kama hili uliloleta hapa.
  Habari iwe ya Chadema, ccm, cuf, nccr, tlp ama udp tutaileta hapa na tutaichambua vilevile bila kuangalia makunyanzi!
   
 20. k

  kalikenye JF-Expert Member

  #20
  Oct 7, 2012
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 1,616
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 160
  Hao ndo kula yao
   
Loading...