Ni takriban miaka miwili sasa tangia Kumwagiwa Tindikali kijana Musa wakati wa uchaguzi mdogo wa Jimbo la Igunga mwaka 2011. Tangia kutokea kwa tukio hilo la kusikitisha,Naibu katibu mkuu CCM na Mbunge wa Iramba MWIGULU MCHEMBA amekua akitangaza wazi kwamba wahusika wa tukio hilo ni viongozi wa CHADEMA!
Hadi sasa tumeendelea kushuhudia na kusikia Mwigulu na Muathirika wa tukio la kumwagiwa Tindikali wakiendelea kuwaaminisha Watanzania kwamba CHADEMA ndio waiomteka na kumwagia Tindikali.
Jijini Arusha katika kampeni za Udiwani tumeendelea kushuhudia tena VIOJA vya MWIGULU na Kijana Mussa ambae amekua kama "KATUNI" ya maonyesho chini ya MHESHIMIWA sana MWIGULU, kwa kuedeleza kumsimamisha Majukwaani kwa makusudi ili kupata Huruma za wapiga kura kwa Maneno yaleyale kwamba CHADEMA ndio waliomwagia Tindikali na kua hawafai kupewa uongozi!
Japokuwa watu wa Arusha hatufanani na wale wa IRAMBA, na kuwa Propaganda za Mwigulu hazina nafasi kwetu lakini UWONGO unapoachwa ukaendelea kusemwa kwa muda mrefu, basi ipo siku watu wataamini huo uwongo na kuona ni Kweli aliwahi kusema RAIS KIKWETE.!!
Ufike wakati sasa Chama Cha Demokrasia kuitisha Kikao na waandishi wa habari na kutoa tamko juu ya haya yanayosemwa na huyu CHIZI MWIGULU pamoja na TAAHIRA MUSA anaekubali kutumika kama Katuni kwa maslahi ya CCM.
Huu sio wakati wa kuendelea kumbeza mtu huyu ambae ni hatari kwa Ustawi wa Demokrasia. Na anaeendelea kukichafua Chama cha CHADEMA machoni pa watu kwa kukihusisha na Mauaji kila mara huku akidiriki kuaminisha watu kuwa CHADEMA ndio walimpiga Risasi Kijana kule Morogoro ktk maandamano yao.
Ni kweli pasipo shaka kwamba Polisi ndio wauaji wa Raia katika Mikutano na Maandamano ya CHADEMA, lakini CHADEMA ndio wanaolaumiwa kwa kuhusishwa na Mauaji ya Wanachama wake. Ifike basi sehemu tuseme sasa basi na tusiendelee kumpa Mpuuzi kama Mwigulu kuendelea kumtumia Kijana TAAHIRA MUSSA kuichafua CHADEMA kwa Siasa za Maji taka.
Ni Musa huyu huyu alitumika ktk mikutano ya kule Iramba ktk uchaguzi wa vitongoji na vijiji na matokeo yake tuliona kuwa watu wa kule walimuamini Mwigulu na Propaganda zake na mwisho wa siku CHADEMA kilishindwa vibaya ktk chaguzi hizo.
Kuendelea kumchekea Mwigulu ni sawa na kuendelea kumuachia Adui yako nafasi ya kukushambulia round za kwanza mfululizo huku ikiwa unajiamini kuwa bado kuna round za mbele na utajitetea, bila kujua kua unaweza kuangushwa Round hizo hizo za kwanza.
Viongozi wa CHADEMA tunawaomba sasa Muitolee kauli swala la Kijana Taahira MUSSA anaetumiwa na MWIGULU kama Katuni kuichafua CHADEMA kwa maslahi ya CCM huku kukiwa na tetesi kuwa uchaguzi mkuu 2015 MUSSA atazunguka nchi nzima na mgombea urais CCM kwa wakati huo kuwaonyesha watanzania kuwa CHADEMA ndio waliomfanyia unyama huo. Hii haikubaliki na tuipinge kwa nguvu zote!