Chadema kuna wanasheria wabobezi hivyo ni " chimbo" salama kwa watuhumiwa wa ufisadi!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,744
141,608
Wakati huu ambapo CCM inazaliwa upya, ni wazi kabisa kwamba mafisadi na wale wote wenye tuhuma za kifisadi watakikimbia au kukihama chama. Sehemu pekee inayowahakikishia usalama wao ni Chadema na hii inatokana na ukweli kwamba chama hicho kimesheheni wanasheria wabobezi ambao wakiamua kukusafisha lazima usafishike. Hata hii misukosuko inayomkuta Zitto mwisho wa siku utasikia ameimarisha mahusiano yake na chadema. Itoshe tu kusema si wote waendao Ufipa wanafuata itikadi la hasha, wengine wanatafuta chimbo la kisheria wakiamini ukijichimbia mle chamani basi wewe uko salama " kiutetezi"..... Nawasilisha!!
 
Kwanza elewa kuwa hakuna mwanasheria wa bure. Atalipia je ofisi yake? Sasa; Kila mwanasheria hufungua milango kwa yeyote yule mwenye senti zake.
Huoni kuwa utakuwa unawapaisha sana hao wanasheria wako wabobevu uliowaona huko CDM kuwa hawanaga hiana wala uchu wa fedha kwa wateja wao?? Huoni kwamba unawapa sifa wasostahili hao unao waita ati Wabobevu kuwa wapo CDM tu na CCM hata huyo AG si lolote kisheria??
Fikiri kidogo kabla hujatuma ujumbe wako
 
Sasa AG atatetea mafisadi?!!!!! Hapo tu umeshanichosha.
 
Kwani Mwanasheria mkuu wa Serikali anatokea Chadema?,Hao unaowaita wabobezi katika sheria hawawezi kumtetea Mtu aliye na makosa yaliyo dhahiri kisheria. Wanaowatetea ni wale waliotumiwa kama Ngazi au vijiko kwa ajili ya wengine.
 
Ndio maana nimetumia neno " watuhumiwa"
 
Back
Top Bottom