mgombea uvccm2017
JF-Expert Member
- Jan 11, 2016
- 505
- 376
Ivi wana bavicha? Na mwenyekiti wao anaitwaje? Maana ninakumbuka enzi za Heche bavicha ilikuwa bavicha kweli na ilitutikisa ila sasa hivi sijawah hata kuisikia wala hata mwenyekiti wao simjui
Mwingine ni katibu mkuu! Iv kaenda wapi? Simsikii jaman
Hata akina Mnyika na Tundu lisu mbona nao kimya
Ivi kasi ya magufuli ndo inawaziba mdomo au Lowasa hataki kelele?
Mwingine ni katibu mkuu! Iv kaenda wapi? Simsikii jaman
Hata akina Mnyika na Tundu lisu mbona nao kimya
Ivi kasi ya magufuli ndo inawaziba mdomo au Lowasa hataki kelele?