CHADEMA kuna nini igunga?

Plato

JF-Expert Member
Aug 28, 2010
420
94
Kwa wanaojua moto wa chadema hapa jf,nashangaa uhaba wa post za matukio ya igunga.hata cuf wako mbele.mmejisahau,au kuna hujuma?
 
mimi nafikiri wamekuta mambo sio,makamanda wote wapo kule lakini kimya
 
Team ipo kambini mnataka matokeo ya mechi au mnataka list ya wachezaji au mnataka idadi ya Mashabiki?
 
Mmmh,kabla sijabadilisha jina hapa nilitoa utabiri wangu juu ya matokeo ya chadema igunga,...
nilitukanwa sana,sasa nasubiri yatimie ndipo niwape quote ya nilicho kisema wakati ule
 
Eeeeeeee! kweli eti, mambo magumu kule.kila siku nasema jamvi litakuwa chungu hili.
<br />
<br />

Peleka upuuzi wako huko! Ngoja uone Alhamisi tutakapokuwa tunazindua kampeni ndio utajua cdm ni akina nani huko Igunga!
 
Chadema hawakurupuki,chadema ni watu wa kuongea 'classified information' siyo watu wa kuleta thread ilimradi wamepost! Hata hivyo sijui utafiti wako umelalia wapi! maana kunapost kibao za makamanda kuhusu Igunga!
 
Mmmh,kabla sijabadilisha jina hapa nilitoa utabiri wangu juu ya matokeo ya chadema igunga,...
nilitukanwa sana,sasa nasubiri yatimie ndipo niwape quote ya nilicho kisema wakati ule
Hapo kulipopigiwa mstari... ulibadilisha jina ili iweje? Unafii tu
 
Kimsingi igunga tumepoa sana sijui regia anaenda lini aanze kutuhabarisha manake tumbo mm sijawahi kuona akitekeleza kazi yake.
 
kuna makamnda wana jianda kwenda Igunga wengine wanajianda kwenda Lushoto....naamini mtapa updates mpaka siku ya fainali....na tumejipanga
 
We vipi? huu ni uchaguzi tu muhimu this time we are there na CCm hana sababu ya kujiona yeye ndiye kidume.
 
Mnataka data zipi nyie wakubwa? Uzinduzi wa kampeni c bado? Kuweni wapole, tuleteeni matukio ya CCM basi!.
 
Kimya Kingi kina mshindo mkuu. Stay tuned mtayapata tu,makamanda bado wamepigwa butwaa kujua kumbe kuna rushwa hadi za suti kisha watu wanagawa Ngorongoro
 
Kwa wanaojua moto wa chadema hapa jf,nashangaa uhaba wa post za matukio ya igunga.hata cuf wako mbele.mmejisahau,au kuna hujuma?
Mkuu, Igunga ngumu kwa CDM hamna kitu watapost nini Magwanda kama migambo wa City wapo Igunga wanang'aa sharubu tu
 
Kwa wanaojua moto wa chadema hapa jf,nashangaa uhaba wa post za matukio ya igunga.hata cuf wako mbele.mmejisahau,au kuna hujuma?
Tumewatanguliza CUF kwa picha za kuchakachua za pemba karibu chenga zinawaishia,
mtanange utakapoanza pumzi kwishiney ni mapovu tu yatawatoka mtasema tena mbona post za CDM zimezidi?

'CUF yafunika urejeshaji fomu'

_DSC0924.JPG
 
Back
Top Bottom