Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 50,435
- 113,444
- Thread starter
- #601
Not fair!...hata kama!. Unawaingiza hadi wasiohusika!.zitto is the problem, kwa nini koleo lisiitwe koleo tu! zitto ana matatizo ya malezi! ana tabia kama za mtoto wa barmaid, hashauriki wala wala haambiliki na hana nidhamu kwa seniors wake! anasumbuliwa na ulimbukeni! enjoy your holiday, dude!!
Pamoja na matatizo yote, we always have to be fair!. Hata nikukuuliza tuu swali la "hivi wewe Mossad unauhakika baba yako ni nani?!. Nakua sijakutukana wewe tuu, bali hata asiyeusika!.