CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

Kama kuna mtu huwa anaamini yale maigizo ya chadema ya kudai katiba mpya tumpe pole.
unadai katiba mpya wakati unataka uvunjifu wa katiba ufanyike?
Huwa najiuliza watu kama ninyi kichwani mmejaza nini zaidi ya funza? Yaani akili ni finyu kama ya mende..
 
Mi nilifikiri wanaomba kesi iishe haraka kumbe wanataka rais waifute. Hii kesi unaweza kuijenga au kuibomoa chadema kwani kupitia mawakili wao wanapaswa kuionyesha dunia kuwa Mbowe sio gaidi ukichukulia mabalozi wa nchi kubwa wanahudhuria kila siku
 
Unaongea kama mtu aliyeamua ajivike ujinga kwa muda.

1) Anayemshtaki Mbowe ni Samia

2) Aliyempa Mustapha rushwa ya cheo ili kutoa hukumu ya upendeleo ni Samia.

3) Aliyembambikia kesi Mbowe na wenzake ni Samia (ndiye kiongpzi mkuu wa Polisi na majeshi yote)

Kama aliyewabambikia kesi ni Samia, aliyewashtaki ni Samia, aliyetoa rushwa kwa jaji aliyekuwa anaendesha kesi ni Samia. Unadhani ni nani mwenye uwezo wa kuifuta kesi hiyo kama si yule aliyeitengeneza?
Assume unayosema ni sahihi, niambie sababu sasa za Samia kumsamehe asitekeleze azma yake ya toka mwanzo
 
Nje ya mada

Bean 1.jpg
 
Separation of powers bro.
Kwa utashi na akili zako unaziona hizo separation of powers? Unataka kutuaminisha kuwa zipo siyo? Zingekuwepo mh. Samia asingethubutu kuongea na BBC juu ya kesi ya uhaini iliyokuwa mahakamani! Lakini Kwa kuwa mhimili uliopo ni mmoja na mingine imevyonzwa na mhimili wa rais ndio maana alijidhihirisha kuwa mhimili wake ni Alfa na Omega! Pia asingempa rushwa ya madaraka jaji huyo aliyeamua kumfurahisha na kumwambia Asante Kwa cheo na nitakufurahisha zaidi! Mpaka hapo unaiona hiyo mhimili iliyosalia ikifurukuta zaidi ya kupamba na kusifu? Kuwa gt sometime!
 
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Ndio tatizo la kuamini mtu kwa kua eti mzungu. Hivi yule shoga armsterdam ndio mtu wa kumuamini kuwashauri nyie chadema? Si kukosa akili tu! Mbowe alipokea ushauri wa ovyo kwa kufikiri kila anachoambiwa na wazungu ni sawa. Sasa nendeni kwenye kesi msipige chenga.
Naona hasira na uchungu kwa lugha ya kejeli na kudhalilisha aliyokua anatumia mbowe dhidi ya magufuli kwenye video yake ya propaganda. Mungu atalipiza kisasi kwa niaba ya marehemu huyu shujaa wa taifa letu.
 
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Mbona Rais hakuachia mahakama aliwaingilia
 
Wanamuhadaa Hangaya aingilie mahakama waseme ni dikiteta anaingilia mpaka Mahakama.
Hangaya ulishateua majaji acha wapige kazi we endelea kujitambulisha kwa majirani.
Kuwapa vyeo majaji wasigina sheria kwa makusudi ni kuingilia mahakama kwani hiyo ni Rushwa ya vyeo
 
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Kwani Kesi ya Rugemalira na kesi nyingine ambazo DPP anazifutia mashitaka, haziwi mahakamani? Mbona mnajirudisha nyuma jamani?
 
Huu ushauri wangeusikiliza wasingeaibishwa na Power Kaaya.
Au wewe ndio Power Kaaya unajifariji hapa..... Umefuatilia mahojiano? Power Kaaya anateseka mno. Atajuta kukaririshwa script ambayo anapwaya. Mbowe aliruhusiwa kutoka gerezani kwenda kumuona Power Kaaya Longido? Halafu akampakia Power Kaaya kwenye V8 ya KUB 2020?
 
Back
Top Bottom