CHADEMA kumwomba Rais Samia aingilie kati kesi ya Mbowe ni kutaka Katiba ya JMT ivunjwe. Nchi hii ina mihimili mitatu iliyo na mamlaka kamili

Katiba inaruhusu BAADA ya kesi Mbowe kushtaki kwa rais kama anadhani ameonewa.
Au kuomba msamaha kama hajaonewa.
Lakini yote BAADA ya kesi kuisha.
 
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.

Anayeshitaki ni Serikali. Kama wakimlilia akasema Hama nia ya kuendelea na Kesi huoni mchezo unakuwa umeisha?
 
Mwenyekiti wenu si alitamka kwamba Kesi ya Mbowe acheni iendelee kwani wenzake WAMESHAFUNGWA tayari. kamuulize vizuri kina nani hao washafungwa ? na kesi ilisikilizwa lini na katika Mahakama gani
sasa ndo mumpigie magoti kumuomba afute kesi?
 
Hawa ndugu zetu CHADEMA ni watu wasioeleweka. Wana tabia ya kwenda mahakamani wakiwa na majibu yao mfukoni, wao hujitia ujuzi wa sheria kuliko mtu yeyote yule.

Kwenye shauri la Mbowe, Jaji Siyani katoa hukumu kwa kesi ndogo katika ya Mbowe, wao wanadai hawajaridhika na tayari wameanza kuitishia Mahakama (rejea kauli za Mnyika leo)

Kama haitoshi wanapiga kelele wakijaribu kumshinikiza Rais Samia eti aingilie kati kesi hiyo...JAMANI. Watu wale wale wanaotaka Mahakama iwe huru ndio wanataka Rais aingilie kati?

Kama ujumbe huu utafika kwa Rais Samia, tunamuomba aendelee kutowajibu chochote watu hawa. Atulie hivyo hivyo na kuacha Mahakama ifanye kazi yake. Kama Mbowe ana hatia ataenda zaidi ya miaka 15 jela, kama hana hatia atarudi mtaani ila sio kwa amri ya Samia.

Bi Samia Rais wetu, wewe chapa kazi, hili la kina Mbowe waala lisicheze mishipa yako.
 
Kwasababu umetumia ID mpya na ile ya zamani umeiacha ngoja tukutwange maneno

"Samia hataki wewe uwe mke mwenzake chunga sana kujipendekeza"
 
Hawa ndugu zetu CHADEMA ni watu wasioeleweka. Wana tabia ya kwenda mahakamani wakiwa na majibu yao mfukoni, wao hujitia ujuzi wa sheria kuliko mtu yeyote yule.

Kwenye shauri la Mbowe, Jaji Siyani katoa hukumu kwa kesi ndogo katika ya Mbowe, wao wanadai hawajaridhika na tayari wameanza kuitishia Mahakama (rejea kauli za Mnyika leo)
Hii ni kesi ya kisiasa.

Hukumu ya kesi ndogo ndani ya kesi ya msingi inaonesha namna gani Jaji amekwepa kutumia ama.kusimamia vifungu vya sheria kwenye kutoa haki. Amehukumu kupitia maoni yakr binafsi

CCM Hoyee
 
Cahdema kipindi cha jiwe waliufyata wakaja kunyenyuka kabla hata arobaini haijaisha na kutaka wawekewe mazingira ya kwenda ikulu.

Je mbowe alikua anasubili jiwe afe ndo aanze fujo zake?

Mama shikilia hapohapo wala usilegeze wala usiwajibu chochote.
 
Mshauri yeye mwenyewe ama kupitia msemaji wake akanushe au kasema ni akina nani wenzake na Mbowe wanatumikia hukumu yap? Kama alipotoshwa napenyewe aseme
 
Hawa ndugu zetu CHADEMA ni watu wasioeleweka. Wana tabia ya kwenda mahakamani wakiwa na majibu yao mfukoni, wao hujitia ujuzi wa sheria kuliko mtu yeyote yule.

Kwenye shauri la Mbowe, Jaji Siyani katoa hukumu kwa kesi ndogo katika ya Mbowe, wao wanadai hawajaridhika na tayari wameanza kuitishia Mahakama (rejea kauli za Mnyika leo)

Kama haitoshi wanapiga kelele wakijaribu kumshinikiza Rais Samia eti aingilie kati kesi hiyo...JAMANI. Watu wale wale wanaotaka Mahakama iwe huru ndio wanataka Rais aingilie kati?

Kama ujumbe huu utafika kwa Rais Samia, tunamuomba aendelee kutowajibu chochote watu hawa. Atulie hivyo hivyo na kuacha Mahakama ifanye kazi yake. Kama Mbowe ana hatia ataenda zaidi ya miaka 15 jela, kama hana hatia atarudi mtaani ila sio kwa amri ya Samia.

Bi Samia Rais wetu, wewe chapa kazi, hili la kina Mbowe waala lisicheze mishipa yako.
Mahakama iko huru na Imeamua. Tutulie kama tunanyolewa
 
Wasukuma sijui nani ametulaani?!
snoop.png
 
Huku sasa kwa wanaCHADEMA ni kupaniki na hii ni baada ya Caution statement za mmoja wa watuhumiwa wenzake na Mbowe kupokelewa kama ushahidi mahakamani.

Kwa nini Mnyika J, anasahau na kutoa kauli za ajabu ambazo hazina mashiko? Kesi ipo mahakamani na rais hana mamlaka ya kuingilia muhimili wa mahakama. Lakini Mnyika anaomba rais atoe neno ili kesi ifutwe. Hii ni sawa?

Kama chama makini nilitegemea kipambane Mahakamani ili kuwashinda Jamhuri, lakini sio kuomba msaada kwenye tuta wakati wanajua mhimili wa mahakama upo huru. Hii inaanza kutia shaka huenda watuhumiwa wanakosa.

My take: Mambo ya Mahakama tuwaachie mahakama.
Aibu kubwa
 
Labda mahakama ya bibi yako ndio ipo huru!!
 
Wanamuhadaa Hangaya aingilie mahakama waseme ni dikiteta anaingilia mpaka Mahakama.
Hangaya ulishateua majaji acha wapige kazi we endelea kujitambulisha kwa majirani.
 
Back
Top Bottom