Kuwalaumu CHADEMA kwamba kwanini walishikilia bango Lowassa awajibishwe kama fisadi ni kuwaonea.
Kwanini?
Kwasababu aliyesema kwamba lowasa amefanya ufisadi ni serikali na baada ya CHADEMA kuzipata hizo taarifa nao wakahakikisha kwamba wanalisimamia hilo jambo ili haki itendeke, lakini cha kushangaza miaka inaenda miaka inarudi, serikali inapiga kona kona tu na ndo maana CHADEMA waliposhtuka kwamba, kuna kamchezo serikali inamchezea Lowassa kumpunguza makali wakaamua kumchukua.
SasaSasa ile hisia ya CHADEMA kwamba, serikali inamchezea Lowassa kamchezo, imedhihirika baada ya serikali hiyohiyo kusema kwamba Tanzania hakuna fisadi wa kupeleka mahakamani.
Go Lowassa Go Mzee Mwenye hekima na maarifa mengi, shimo walilokutegea kwaajili ya maslahi yao wenyewe limewameza, sasa sijui watatuambia nini tuwaelewe.
Yule Nape sijui atasema nini tena, mzee kufa hutakufa na wala hutatumia nguvu kuingia ikulu wamekupeka wenyewe.
Tanzania ya Neema zinakuja itajengwa kwa akili na maarifa.