CHADEMA kumuita Lowassa fisadi walilaghaiwa na serikali

H.T.P

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
1,169
2,000
Kuwalaumu CHADEMA kwamba kwanini walishikilia bango Lowassa awajibishwe kama fisadi ni kuwaonea.

Kwanini?

Kwasababu aliyesema kwamba lowasa amefanya ufisadi ni serikali na baada ya CHADEMA kuzipata hizo taarifa nao wakahakikisha kwamba wanalisimamia hilo jambo ili haki itendeke, lakini cha kushangaza miaka inaenda miaka inarudi, serikali inapiga kona kona tu na ndo maana CHADEMA waliposhtuka kwamba, kuna kamchezo serikali inamchezea Lowassa kumpunguza makali wakaamua kumchukua.

SasaSasa ile hisia ya CHADEMA kwamba, serikali inamchezea Lowassa kamchezo, imedhihirika baada ya serikali hiyohiyo kusema kwamba Tanzania hakuna fisadi wa kupeleka mahakamani.

Go Lowassa Go Mzee Mwenye hekima na maarifa mengi, shimo walilokutegea kwaajili ya maslahi yao wenyewe limewameza, sasa sijui watatuambia nini tuwaelewe.

Yule Nape sijui atasema nini tena, mzee kufa hutakufa na wala hutatumia nguvu kuingia ikulu wamekupeka wenyewe.

Tanzania ya Neema zinakuja itajengwa kwa akili na maarifa.
 
don simon

Senior Member
Nov 24, 2016
173
225
unataka kuniaminisha kuwa chadema wanapelekwa kama ng'ombe wapelekwao machinjioni???
 
kigogo warioba

JF-Expert Member
Jul 11, 2015
5,595
2,000
Lissu alimuita Lowasa fisadi, Mnyika akasema anaushahidi wa kutosha, kwahiyo tuna msubiri mwanasheria mzalendo lissu asimamie hiyo kesi na mnyika akiwa shahidi, serikali ilishatoa mahakimu
wenzako walitumia mbinu hii kukidhoofisha chama tawala, watu wengi walidhani ni kweli na mmoja wapo ni wewe, stuka
 
Mr.Junior

JF-Expert Member
Sep 8, 2013
10,288
2,000
Lakini si walikuwa wanasema wana ushahidi kabisa?

Jamani acheni kuwaona Watanzania wajinga kiasi hicho.

Kuwalaumu CHADEMA kwamba kwanini walishikilia bango Lowassa awajibishwe kama fisadi ni kuwaonea.

Kwanini?

Kwasababu aliyesema kwamba lowasa amefanya ufisadi ni serikali na baada ya CHADEMA kuzipata hizo taarifa nao wakahakikisha kwamba wanalisimamia hilo jambo ili haki itendeke, lakini cha kushangaza miaka inaenda miaka inarudi, serikali inapiga kona kona tu na ndo maana CHADEMA waliposhtuka kwamba, kuna kamchezo serikali inamchezea Lowassa kumpunguza makali wakaamua kumchukua.

SasaSasa ile hisia ya CHADEMA kwamba, serikali inamchezea Lowassa kamchezo, imedhihirika baada ya serikali hiyohiyo kusema kwamba Tanzania hakuna fisadi wa kupeleka mahakamani.

Go Lowassa Go Mzee Mwenye hekima na maarifa mengi, shimo walilokutegea kwaajili ya maslahi yao wenyewe limewameza, sasa sijui watatuambia nini tuwaelewe.

Yule Nape sijui atasema nini tena, mzee kufa hutakufa na wala hutatumia nguvu kuingia ikulu wamekupeka wenyewe.

Tanzania ya Neema zinakuja itajengwa kwa akili na maarifa.
 
Regnald Patrick Almasi

JF-Expert Member
Nov 13, 2016
325
250
Hivi tangu lini Ukweli ukawekwa chombo kimoja na Uongo?, Lowasa ni Fisadi na si vinginevyo.
Mahakama toka July ina kesi moja na mwakyembe anasema kukosekana kwa mafisadi ni ushindi kwa serikali.. Sasa lowasa kama fisadi serikali yachelewa nini kumpeleka mahakamani.. na je yule aliyenunua kivuko kibovu cha kwenda Bagamoyo mtampeleka lini mahakamani?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom