Chadema kumekucha ubunge Sumbawanga Mjini

Upinzani ilikuwa Enzi za mrema bana.kanga zinatandikwa chini gari inazimwa halafu inasukumwa na wananchi.hiyo record haijavunjwa na haitavunjwa.
 
Tulianza na Mungu, tupo na Mungu, tunaendelea na Mungu na tutamaliza na Mungu.
 
Yule dada wa morogoro makam wa bavicha anammudu heche vzr sana.heche akitamka hivi yeye anaweka mambo sawa
 
Sumbawanga ndio ilikuwa kiini cha tatizo la udini ambapo kanisa liliwatenga waumini wake waliokuwa wanaunga mkono ccm,ngoja tuone tena yatajiri yepi awamu hii.
 
Upinzani ilikuwa Enzi za mrema bana.kanga zinatandikwa chini gari inazimwa halafu inasukumwa na wananchi.hiyo record haijavunjwa na haitavunjwa.
Hizi ni dalili za mtu aliyekata tamaa na anahitaji msaada, ya nini kujiumiza rafiki, (IF YOU CANT FIGHT CDM JOIN THEM)
 
Impressive!

Heche afanye na sensa ya papo kwa papo pia ili kujua kwenye umati huu wangapi ni eligible voters.

Vinginevyo ni sawa na kula ugali kwa harufu ya samaki!!
Ha ha haaa. Umesema kweli Mkuu sensa ni muhimu. Lakini umenichekesha huo utani wa kula ugali kwa harufu au picha ya samaki. Wachaga huwatania wapare kuwa wamezoea tabia hiyo
 
Chadema itakufa ndani ya mwaka mmoja -wassira a.k.a mzee wa kulala bungeni na aliyekana watoto wake hadharani
 
Back
Top Bottom