CHADEMA Kumbukeni waraka huu

Nikiwa gerezani nimezitumia siku zangu 92 kutengeneza andiko la toleo langu la kwanza la kitabu nilichokipa jina;

“USHINDANI NDANI YA MFUMO KANDAMIZI (SAFARI YANGU KISIASA HADI KUTUHUMIWA KUWA GAIDI ASIYE GAIDI).
.Kwa wale watakaohitaji toleo la kitabu hicho wasisite kuwasiliana nami kwa kunipigia simu au kutuma ujumbe wa maandishi 0713 237869, 0758 417169, 0786 774697 au barua pepe lwaks62@hotmail.com. Kwa wale wanaotaka kunisaidia kwa namna moja au nyingine kuhakikisha toleo hilo linatoka kwa haraka na kwa viwango, nitawashukuru kwa mikono miwili.

Nimuombe Mungu azidi kututangulia na kutupa ujasiri wa kukabiliana na adui na kumshinda shetani huku tukidumu katika imani.
IN GOD I TRUST.

IMEANDALIWA NA:
WILFRED MUGANYIZI LWAKATARE
MKURUGENZI WA ULINZI NA USALAMA CHADEMA.
Mkuu Fortunatus Buyobe , vipi hiki kitabu kilitoka?.
Niliwahi kuandika humu, Je, wajua kuwa hatma ya CHADEMA ipo mikononi kwa Lwakatare? Baada ya CHADEMA kumwaga ugali, Lwaka akiamua kumwaga mboga, CHADEMA kwishney!
P
 
Back
Top Bottom