CHADEMA kumbe bado mpo Geita hadi Chato, hongereni sana

Jamhuri ya JF iko kazini , mimi kwetu Mwanga na Hai, nilikwenda kuzika kutokana na ulazima wa kuendesha maisha. Kwa siku mbili nilizo kaa siku moja kabla ya mazishi na baada ya mazishi, unacho andika hapa unawadanganya wana JF.

Labda kutokujuwa ya lugha ya Kisukuma ulininyima kupata hali halisi ya Geita na Chato ya picha tofauti na niliyo nayo.

Wananchi wa maghsribi au kanda ya ziwa kwa ujumla wana muungano sana na wakitakacho au kukipenda kuliko Kaskazini.

Huku Kilimanjaro wazee karibu wote wanaipenda CCM kiasi unajiuliza wanepata nini? Na vijana wengi wao wako upande wa upinzani. Na hii iko Wilaya zote Kuanzia Same Mwanga, Moshi Vijijini, Rombo, Vunjo, Hai na Siha.
Nidanganye watu ili iweje? Kuna maslahi?

Kwakuwa umesema ulikaa siku mbili sina sababu ya kubishana na wewe. Siku ukifika Chato ukakaa angalau mwezi mmoja tu, na ukafahamiana na ndugu wa mwendazake hata wawili tu wanaoishi hapo Chato uje unipinge.
 
Nimeona ofisi zenu na wanachama wa kutosha hapo Geita mjini, hongereni sana akina bwashee.

Kadhalika nimeona mbwembwe zenu kule Chato mkiongozwa na mwanamama Husna, hongereni sana. Lindeni rasilimali mlizoachiwa na mwendazake Magufuli wakati serikali ikiendelea kutafakari ombi lenu la kupewa mkoa.

Sikutarajia Chadema kuwa "inaishi" huko Geita, hongera Upendo Peneza.

Kazi Iendelee.
Kumbe ukifuata masharti ya daktari wako kuna uwezekano wa kupona kabisa maradhi yako. Yaani ukiacha pombe siku mbili tatu na kumeza dawa zako unakuwa na akili za kutosha kabisa. Keep it up. Tunakutakia uponaji mwema ndugu yetu.
 
Back
Top Bottom