Elections 2010 CHADEMA kumalizia kampeni zake Mbeya Oct. 30.

Luteni

JF-Expert Member
Jan 9, 2010
2,274
301
[FONT=ArialMT, sans-serif]Dk. Slaa amesema kutokana na wananchi wa Mbeya kuwa na imani na Chadema, chama hicho kitahitimisha kampeni zake Oktoba 30, mkoani Mbeya badala ya Dar es salaam kama inavyosomeka kwenye ratiba yao.[/FONT]

Wadau mnalionaje hili.
 
Chadema wanahofia kuhujumiwa na serikali ya ccm kwani JK atahitimisha kampeni zake DSM pia, ccm wanaweza kupenyeza vurugu kwa muingiliano wa kampeni sehemu moja na kutumia kigezo hicho kuwachafua chadema kwa wapiga kura. Ikumbukwe pia cuf wanatarajiwa kuhitimisha kampeni zao DSM.
 
naunga mkono chadema kumaliziaa kampeni zao mbeya kwani ni dhahiri uungwaji mkono upo wazii...
 
Siungi mkono hoja hiyo hata sisi huku dar tunahaki zetu bwana afuate ratiba inavyosema!
 
Ni mambo ya kuwa flexible kama vyama vyote vinafunga kampeni DSM sio lazima nawe ufanyie uko.
Ni uamuzi wa mbolea chadema wengine twaweza share via radio na tv
 
Wamefanya vizuri kwa sababu CCM watawazuia viwanja vya Dar. Vile vile Tanzania si Dar tu kama CCM wamekuwa wakifanya na ikumbukwe Dar ndiyo ngome kuu ya Chadema kwa hiyo Mbeya ni kuhakikisha ya kuwa Chadema inatoa kauli nzito ya kuwa sera zao zitalenga nchi nzima na wala siyo Dar tu kama CCM wamekuwa wakifanya
 
naunga mkono imalizikie mbeya ushindi kwa CHADEMA lazima. tarehe 2 novemba Gen shimbo tumpeleke the hague akajibu mashtaka ya uchochezi
 
Na waunga mkono Chadema. Kwani sisi tutakuwaje kama fisi - kuhudhuria mikatano yote kwa pamoja. Sasa vyombo vya habari hususan TV na Redio watarusha mkutano wa chama gani moja kwa moja? Pili ni kukwepa mbinu ya Lt. Gen. Shimbo kwani wanaweza kuvuruga mkutano wa Chadema.
 
Nakubaliana na wadau kufunga kampeni mbeya sababu;
  • Kuepuka hujuma kama za CUF 2005
  • Hii itatibua njama ambazo CCM walikuwa wamepanga kama CHADEMA wangefungia DAR
  • Swala la diversification ni muhimu hapa kuonyesha Nationality ya CHADEMA
 
Back
Top Bottom