CHADEMA kulitikisa jiji la Mwanza kwa mara nyingine tena kesho tar 22/5/2012!

JACADUOGO2.

JF-Expert Member
Dec 13, 2010
930
217
Kesho jumanne tarehe 22/05/2012 makamanda wa CHADEMA (Chama Makini) watalitikisa jiji la Mwanza ambapo kamanda Wenje, Lema na viongozi wengine mbalimbali wa CHADEMA jijini Mwanza pamoja na madiwani watatema sumu dhidi ya CCM (Chama cha wahujumu uchumi). Mkutano utafanyika Igoma stendi kuanzia muda wa saa nane mchana! Karibuni makamanda wote pamoja na magambo wote kwa pamoja bila kujali uzito wa gwanda wala gamba!
-M4C kama kawa!
-Vua Gamba Vaa Gwanda kama kawa!

.Mwenyekiti wa WANARORYA WOTE popote walipo!
 
pamoko tutatia timu pale,,,,,,,kesho gwanda langu kama kawa
 
Kesho jumanne tarehe 22/05/2012 makamanda wa CHADEMA (Chama Makini) watalitikisa jiji la Mwanza ambapo kamanda Wenje, Lema na viongozi wengine mbalimbali wa CHADEMA jijini Mwanza pamoja na madiwani watatema sumu dhidi ya CCM (Chama cha wahujumu uchumi). Mkutano utafanyika Igoma stendi kuanzia muda wa saa nane mchana! Karibuni makamanda wote pamoja na magambo wote kwa pamoja bila kujali uzito wa gwanda wala gamba!
-M4C kama kawa!
-Vua Gamba Vaa Gwanda kama kawa!

.Mwenyekiti wa WANARORYA WOTE popote walipo!

ebu fafanua mtoa mada, gari la matangazo limesema diwani wa igoma adamu chagulani ndiye atakayekuwepo akiwahabarisha wananch juu ya kilichotokea halmashauri na kunyang'anywa kadi kwake na chama, sasa we hiz habari za uwepo wa lema na wenje umezitoa wapi?
 
Back
Top Bottom