Chadema kulikoni? Utitiri wa Vyeo (Mpango madhubuti wa kulindana huku mkibomoa chama)

Status
Not open for further replies.
Majungu Express on the move...vijana hivi vyeo vitawaumiza sana matumbo fanyeni kazi mjiletee maendeleo kwani lazima wote muingie Bavicha? Heche sasa yuko kwenye full time employment hadi 2016.

Hivi kuambiwa ukweli ni majungu imeishakuwa kawaida Chadema wakielezwa mapungufu yao wewe badala ya kumjibu mleta mada unakimbilia Bavicha..

Wewe unaona sawa mtu mmoja kupewa vyeo 10?
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na umakini wa viongozi wake katika kuhakikisha kwamba vijana ni nguvu mabadiliko na wanauwezo wakuongoza na kulinda rasilimali za chama na mgawanyo wa madaraka.Sasa the top wa chama hicho wameamua kimyakimya kugawa madaraka/vyeo kwa watu wanaoona watatumika kulinda siri na mambo mbalimbali ya viongozi wa juu(zidumu fikra za Mwenyekiti)

Naweza kusema CHADEMA sasa imekomaa na kukua kuliko vile jamaa walivyokuwa wanategemea,kiasi kwamba imewawea vigumu kuukumbatia mbuyu huu wenye matawi yake karibia tanzania nzima.Hii imewapa wakati mgumu wamiliki wa chama namna gani wanaweza kulinda rasilimali zao na vyeo vyao....

Hao watu makini (tunaowaita sisi watanzania)wamekuja na mpango kabambe wa kuwagawia madaraka wale watu wanaoona watahakisha wanadumisha fikra za mwenyekiti

Naomba kutumia baadhi ya watu kama mifano tu...ilikuleta maana ya kile ninachokisema.

A.JOHN MNYIKA(Mbunge wa Ubungo)
Huyu ni mbunge wa jimbo la ubungo,amepewa majukumu ya fuatayo kuhakikisha nguvu ya vijana inaonekana.
1.Huyu ni mwenyekiti wa taasisi ya kiraia iitwayo ubungo foundation development.
2.Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa kinondoni
3.Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA
4.Katibu wa wabunge wa CHADEMA
5.Waziri kivuli wa nishati na madini
6.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA
7.Mjumbe wa sekretarait wa CHADEMA makao makuu
8.Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA
9.Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA TAIFA
10.Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam
Hivi huyu mtu anajigawaje katika majukumu yote haya,bila shaka ni kpenzi cha the top kwa sababu anadumisha fikra za mwenyekiti.

B.HEZEKIEL WENJE
1.Mbunge wa Nyamagana Mwanza
2.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema
3.Mjumbe wa sekretarait wa Chadema
4.Na sasa Katibu mkuu wa chadema amemteua kuwa mkurugenzi wa mambo ya nje wa chadema ambapo automatic anahudhuria vikao vya utendaji wa chama makao makuu...ambavyo karibia kila baada ya siku 2 mbili vinafanyika nainatakiwa ahudhurie,,,Jimbo lipo wazi pale mwanza kwa sababu muda wake mwingi yupo pale makao makuu kwenye vikao vya chama.

C.MWIGAMBA
1.Ni mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima(freeman mbowe)
2.Ni mwenyekiti wa mkoa wa arusha
3.NI muhasibu wa chadema makao makuu
Huyu ameacha mkoa ukiwa hauna mwenyekiti(Dr.slaa analiona hilo) nakuitwa kuja kusimamia fedha za chama(uhasibu wa chadema makao makuu)Hadi dakika hii Arusha hapana mwenyekiti wa mkoa wa chama.

D.BENSON MLAMBA
1.Katibu wa CHADEMA mkoa wa tanga
2.Afisa wa habari wa chadema makao makuu
Huyu ameondolewa tanga kuja pale makao makuu kwa sababu za kusaidia kukumbatia mbuyu usiguswe na watu wengine.Ameacha mkoa wa tanga bila kuwa na katibu...huku Dr. akijua kwamba mkoa wa tanga hatuna diwani wala mbunge na chama kina suasua,Kwa mantiki hiyo huyu mtu alikuwa nakazi ya kujenga chama pale tanga.

MY TAKE:
Kumbuka hakuna chama chenye vijana wasomi na wenye utashi/uthubutu mkubwa wa kufanya mambo katika tanzania hii kama CHADEMA.....Lakini hili si rahisi kuliona Dr.slaa kwa sababu vijana waliowengi wameshatumika kwenye mbio za uchaguzi mkuu na sasa hawana thamani tena ndani ya chama hiki.
Kuna vijana wengi sana wamejitolea kujenga chama na wengine wameshapoteza degree zao kwa sababu wanakipenda chama.Wengine wamethubutu kuingia katika vinyang'anyiro mbalimbali vya udiwani,ubunge na wengine wamekuwa wakijitolea kuratibu kampeni mbalimbali za CHADEMA lakini kwa sasa nikama makarai mabovu ya kujengea nyumba.

Je?Kama chadema bado hawachukua dola wamesahau vijana wao,itakuwaje wakishika dola?
Au huu ndio ule mkakati madhubuti wa kulinda na kula keki ya chama watu wa chache huku mkiweka MORANI(tajwa) pembezoni msiguswe?.

Najua kunawatakao tukana na kukejeli kwa sabubu wamepofoka na mapenzi yao juu ya chama,huku wakijisahau kuwa chadema kinamapungufu yake hasa katika matumizi ya rasilimali watu(vijana) na kuwa dampu kama taka.

Umejitahidi lakini haukufikiria sana.Kwani waziri toka chama tawala anafanyia kazi/anaishi Dar es salaam zilipo ofisi za uwaziri au anakaa jimboni?. Maana waziri ni mbunge. Mimi sioni tatizo Mh;Wenje kwenda DSM kila baada ya siku mbili kikazi/vikaoni. Mambo anayofanya huku tunamkubali maana mimi nipo Mwanza.Zaidi ya yote usafiri kwenda MZA-DAR ni saa moja tu,na hakuna kikao cha masaa matatu hata kama ni kirefu vipi.( Wengi tumehudhuria vikao).Kwa hali ya sasa unaweza kwenda DAR-MZA mara mbili to and flow bila kuathiri chochote. Zaidi ya yote unaweza kuwa jimboni kama picha usibadirishe kitu. Acha tuwape nafasi,historia na takwimu ziwahukumu wakati ukifika.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na umakini wa viongozi wake katika kuhakikisha kwamba vijana ni nguvu mabadiliko na wanauwezo wakuongoza na kulinda rasilimali za chama na mgawanyo wa madaraka.Sasa the top wa chama hicho wameamua kimyakimya kugawa madaraka/vyeo kwa watu wanaoona watatumika kulinda siri na mambo mbalimbali ya viongozi wa juu(zidumu fikra za Mwenyekiti)

Kama madaraka/vyeo unavyovisema ni hivi hapa chini basi huijui katiba ya chadema. Kaipitie upya uone majukumu ya katibu mkuu na mamlaka yake ya kuteua viongozi. Kwa kifupi ni kuwa hatakiwe kukupa taarifa wewe kibwengo

kusema CHADEMA sasa imekomaa na kukua kuliko vile jamaa walivyokuwa wanategemea,kiasi kwamba imewawea vigumu kuukumbatia mbuyu huu wenye matawi yake karibia tanzania nzima.Hii imewapa wakati mgumu wamiliki wa chama namna gani wanaweza kulinda rasilimali zao na vyeo vyao....
Mkuu mbona una akili mavi kiasi hiki? Wamiliki wa chama ni wanachama wa chadema, na kama unamaanisha kina Mbowe katiba imetoa utaratibu wa kimajukumu. Kuwaita hao wamiliki wa chama ni kuwatukana kistaarabu. Na nafasi zao ni za kuchaguliwa, vipi waamue kulinda vyeo vyao? Unataka kusema viongozi wanatakla kutawala chama kidikteta? N a raslimali za kina Mbowe na Slaa ni zao binafsi, zinahusika vipi na chama?

watu makini (tunaowaita sisi watanzania)wamekuja na mpango kabambe wa kuwagawia madaraka wale watu wanaoona watahakisha wanadumisha fikra za mwenyekiti
Huu nao ni mpango wako wa kuchafua watu wenye heshima zao, haya maneno ya kwenye saluni za kike. Tupe japo nakala ya miniti za kikao cha siku waliyokubaliana kufanya huo mkakati

Ntaanza kwanza kupangua umbea uliourundika kwa Mbunge wangu then ntakuja kupangua za wengine. ila ujielewe kuwa ubongo wako una utapiamlo na matege makali. Huna hoja zaidi ya majungu, fitna na uzandiki. Kukosa kwakouongozi wa BAVICHA kunakukosesha usingizi nguruwe we!

kutumia baadhi ya watu kama mifano tu...ilikuleta maana ya kile ninachokisema.

A.JOHN MNYIKA(Mbunge wa Ubungo)
Huyu ni mbunge wa jimbo la ubungo,amepewa majukumu ya fuatayo kuhakikisha nguvu ya vijana inaonekana.
1.Huyu ni mwenyekiti wa taasisi ya kiraia iitwayo ubungo foundation development.
2.Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa kinondoni
3.Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA
4.Katibu wa wabunge wa CHADEMA
5.Waziri kivuli wa nishati na madini
6.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA
7.Mjumbe wa sekretarait wa CHADEMA makao makuu
8.Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA
9.Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA TAIFA
10.Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam
Hivi huyu mtu anajigawaje katika majukumu yote haya,bila shaka ni kpenzi cha the top kwa sababu anadumisha fikra za mwenyekiti.
1. Kwenye ubunge tumemchagua sisi wana ubungo, hajateuliwa na katibu wala mwenyekiti na kwataarifa yako hajawahi kuharibu hata siku moja, mimi mkazi wa Ubungo nafurahi kila siku iendayo kwa Mungu na ninajivunia usiku ule niliokesha pale LOYOLA kulinda kura za mheshimiwa Mnyika, na 2015 tutazilinda tena na inshaallah nikiwa hai nitafanya kama nilivyofanya 2010 kuhakikisha Mnyika anashinda tena
2. Taasisi zake hazina uhusiano na chama na hata kwenye taasisi yake sio mwenyekiti yeye, mhasibu yeye, ps yeye, mfagizi yeye, fuatilia utaratibu uliopo kwenye hiyo taasisi usikute yeye ni board member tu
3.Mwenyekiti wa Mkoa wa Kinondoni???? Yupo makau mwenyekiti na katibu mkuu, wanafanya kati nzuri sana. Rejea shule inayoitwa management by objective utaelewa ninachomaanisha
4. Mkurugenzi wa vijana???? Heche anafanya kazi iliyotukuka, na yeye inshaallah atashinda tu uchaguzi ujao kama ataamua kugombea.

5. Katibu wa wabunge wa chadema ni Silinde we bata acha uzandiki
6. Kwa mujibu wa katiba ya chadema, wabunge wake wote ni wajumbe wa kaati kuu automatically, hata Shibuda nae ni mjumbe wa CC ya CDM. Hateuliwi na katibu wala wenyekiti. vilevile, kwa nafasi yake ya ukurugenzi wa uenezi ni mjumbe pia wa cc kwaiyo hoja yako ni ya kiumbea umbea
7. Ushasema waziri kivuli, sasa ulitakaje? Weka hapa JD za waziri kivuli, ukweli ni kuwa hii kazi ya uwaziri kivuli ni kazi ya msimu hivyo kwa kiongozi akini kama Mnyika, ni suala la kujipanga tu
8. Kaimu katibu mkuu wa chama taifa tangu lini? Kipidi cha uchaguzi Mnyika alikaimu nafasi hii kwasababu zilizo wazi, yeye alikuwepo DSM muda wote wkt Slaa yupo mikoani kwenye kampeni, Zitto alikuwa Kigoma na wengineo walikuwa majimboni. Ulitaka babako aje kukaimu?
9. Msemaji wa chama, ndio, hii nafasi ni ya propaganda na Mnyika anaimudu propaganda. Ni nafasi isiyochukulia kabisa muda wake, nayo ni ya msimu
10. Katibu wa wabunge wa dsm we unataka kusema na hii pia aliteuliwa na Slaa? Na unaona kwenye kamati hiyo ya wabunge wa dsm kuna nini cha maana kimefanywa cha kufanya JJ awe busy kiasi hicho?

NIKUKUBUSHE TU WE MWEHU
1. Stephen Wasira,
-Waziri wa JMT
-Mbunge wa bunda
-Mjumbe wa CC ya Gamba
-jumbe wa NEC ya gamba
-Mlezi wa gamba Arusha
- Mjumbe wa bodi kadhaa
-Fisadi

2. Dk. Slaa alipokuwa mbunge
-Katibu mkuu cdm
-Mbunge wa jmt
-mWENYEKITI WA KAMATI ya kudumu ya serikali za mitaa
-Mjumbe wa CC ya cdm
- Mwenyekiti wa board ya wakurugenzi ccbrt

3. Mizengo Pinda
-
-
-
-

4
5
6
 
Naona Mh.Zitto amejitokeza kuwatuliza vijana wake.Tuntemeke kweli ni kiboko, kila uzi lazima kiongozi wa CDM wajitokeze kujitetea.
 
Kama madaraka/vyeo unavyovisema ni hivi hapa chini basi huijui katiba ya chadema. Kaipitie upya uone majukumu ya katibu mkuu na mamlaka yake ya kuteua viongozi. Kwa kifupi ni kuwa hatakiwe kukupa taarifa wewe kibwengo

Mkuu mbona una akili mavi kiasi hiki? Wamiliki wa chama ni wanachama wa chadema, na kama unamaanisha kina Mbowe katiba imetoa utaratibu wa kimajukumu. Kuwaita hao wamiliki wa chama ni kuwatukana kistaarabu. Na nafasi zao ni za kuchaguliwa, vipi waamue kulinda vyeo vyao? Unataka kusema viongozi wanatakla kutawala chama kidikteta? N a raslimali za kina Mbowe na Slaa ni zao binafsi, zinahusika vipi na chama?

Huu nao ni mpango wako wa kuchafua watu wenye heshima zao, haya maneno ya kwenye saluni za kike. Tupe japo nakala ya miniti za kikao cha siku waliyokubaliana kufanya huo mkakati

Ntaanza kwanza kupangua umbea uliourundika kwa Mbunge wangu then ntakuja kupangua za wengine. ila ujielewe kuwa ubongo wako una utapiamlo na matege makali. Huna hoja zaidi ya majungu, fitna na uzandiki. Kukosa kwakouongozi wa BAVICHA kunakukosesha usingizi nguruwe we!

1. Kwenye ubunge tumemchagua sisi wana ubungo, hajateuliwa na katibu wala mwenyekiti na kwataarifa yako hajawahi kuharibu hata siku moja, mimi mkazi wa Ubungo nafurahi kila siku iendayo kwa Mungu na ninajivunia usiku ule niliokesha pale LOYOLA kulinda kura za mheshimiwa Mnyika, na 2015 tutazilinda tena na inshaallah nikiwa hai nitafanya kama nilivyofanya 2010 kuhakikisha Mnyika anashinda tena
2. Taasisi zake hazina uhusiano na chama na hata kwenye taasisi yake sio mwenyekiti yeye, mhasibu yeye, ps yeye, mfagizi yeye, fuatilia utaratibu uliopo kwenye hiyo taasisi usikute yeye ni board member tu
3.Mwenyekiti wa Mkoa wa Kinondoni???? Yupo makau mwenyekiti na katibu mkuu, wanafanya kati nzuri sana. Rejea shule inayoitwa management by objective utaelewa ninachomaanisha
4. Mkurugenzi wa vijana???? Heche anafanya kazi iliyotukuka, na yeye inshaallah atashinda tu uchaguzi ujao kama ataamua kugombea.

5. Katibu wa wabunge wa chadema ni Silinde we bata acha uzandiki
6. Kwa mujibu wa katiba ya chadema, wabunge wake wote ni wajumbe wa kaati kuu automatically, hata Shibuda nae ni mjumbe wa CC ya CDM. Hateuliwi na katibu wala wenyekiti. vilevile, kwa nafasi yake ya ukurugenzi wa uenezi ni mjumbe pia wa cc kwaiyo hoja yako ni ya kiumbea umbea
7. Ushasema waziri kivuli, sasa ulitakaje? Weka hapa JD za waziri kivuli, ukweli ni kuwa hii kazi ya uwaziri kivuli ni kazi ya msimu hivyo kwa kiongozi akini kama Mnyika, ni suala la kujipanga tu
8. Kaimu katibu mkuu wa chama taifa tangu lini? Kipidi cha uchaguzi Mnyika alikaimu nafasi hii kwasababu zilizo wazi, yeye alikuwepo DSM muda wote wkt Slaa yupo mikoani kwenye kampeni, Zitto alikuwa Kigoma na wengineo walikuwa majimboni. Ulitaka babako aje kukaimu?
9. Msemaji wa chama, ndio, hii nafasi ni ya propaganda na Mnyika anaimudu propaganda. Ni nafasi isiyochukulia kabisa muda wake, nayo ni ya msimu
10. Katibu wa wabunge wa dsm we unataka kusema na hii pia aliteuliwa na Slaa? Na unaona kwenye kamati hiyo ya wabunge wa dsm kuna nini cha maana kimefanywa cha kufanya JJ awe busy kiasi hicho?

NIKUKUBUSHE TU WE MWEHU
1. Stephen Wasira,
-Waziri wa JMT
-Mbunge wa bunda
-Mjumbe wa CC ya Gamba
-jumbe wa NEC ya gamba
-Mlezi wa gamba Arusha
- Mjumbe wa bodi kadhaa
-Fisadi

2. Dk. Slaa alipokuwa mbunge
-Katibu mkuu cdm
-Mbunge wa jmt
-mWENYEKITI WA KAMATI ya kudumu ya serikali za mitaa
-Mjumbe wa CC ya cdm
- Mwenyekiti wa board ya wakurugenzi ccbrt

3. Mizengo Pinda
-
-
-
-

4
5
6

Huyu ndio Tuntemeke, naona povu linakutoka umekarisika mpaka umeamaki na akili imehama mwishowe unamwagwa matusi hovyo.
 
Huyu ndio Tuntemeke, naona povu linakutoka umekarisika mpaka umeamaki na akili imehama mwishowe unamwagwa matusi hovyo.
Mkuu hao ndio viongozi wa CDM, inakula kwao sasa ndio maana wanarusha matusi
 
Huyu ZITTO vp? Ananataka kutuchagulia mada za kujadili? Mbona huji kuwakataza wanachadema wanaporomosha matusi na kejeli dhidi ya CUF au baba mwanaasha? Acheni demokrasia ifanye vitu vyake! Naelewa kwa nini jana mliamua kuondoa uzi halali wa Mtukwao12 uliokuwa unajadili kupwaya na ufisadi wa KUB. Kama JF si ya CHADEMA kwa nini ipewe special treatment?
 
Please can someone help me to differentiate these two photos who is who

avatar11515_2.gif
and
avatar33837_4.gif

thanks, see you soon.
Kwamba : Ocampo = Koffie Annan = Waberoya = Tuntemeke?
 
Kuna ukweli kati ya kupeana vyeo na kulindana wala watu msichangiea kwa ushabiki na pamoja na kwamba tuntemeke ni mtu wa majungu sana lakini leo amesema ukweli na naomba dr slaa achb hasira na nyie msiyumbishe ukweli angalia.heche si mwajiriwa wa makao makuu lakini hivi sasa analipwa sawa na wakurugenzi kinyume na katiba na kanuni za chadema,kuna mkt wa wazee na wanawake wao hawalipiwi nyumba wala posho.huku si kulindana?pili mnyika ni katibu wa bunge silinde anakaimu tu na hadi sasa wananchi wa ubungo wameanza kulala.tatu wenje ni waziri kuvuli na mjumbe wa kamati kuu kuna haja gani kumpa ukurugenzi wa mambo ya nje na wakati ni waziri wa mambo ya nje?na je mjumbe wa kamati kuu ambaye ni mkurugenzi atahoji taarifa ya katibu mkuu?nne suran lyimo ni mbunge,makamu mkt bawacha na kaimu mkt bawacha na pia mkurugenzi wa rasilimali je vyeo vyote hivyo ni lazima apewe yeye?sio lazima apewe tuntemeke lakini ni sahihi?tano mkurugenzi wa fedha na utawala ni antony komu yeye anawapa watu kazi hata bila vikao mfano hawa mwaifunga hana utalaamu wowote labda kitandani kwa mujibu wa watu wa makao makuu chadema list ni ndefu ya kupeana vyeo,safari na nk kwa namna hiyo.sita mwigamba si mwandishi wa kudumu huwa anaandika tu makala na mkt si mtu wa kila siku ofisi.saba benson mramba anatakiwa kuachia ama kazi ya it makao makuu au ukatibu wa mkoa wa tanga hakuna mjadala.nane wajumbe zaidi ya 80 asilimia ni wa mlengo wa mbowe hivyo mbowe akisha kuelewana na dr slaa hakuna kupinga angalia wajumbe hawa wenge,msigwa,chiku abwao,lissu,mnyika,grace kihwelu nk hawa ndio wale ambao wanazuaia mbuyu!kuna haja ya kupanga kurugenzi ziendane na uwezo na wakati wa sasa na kutoa nafasi kwa watu wengi kulingana na jiografia ya nchi mfano dhana ya uchaga itoelewe maelezo kwa vitendo angalia fedha-komu,bunge-mrema,rasilimali-lyimo,nje-wenje,uenezi-mnyika.maeneo haya ni strategic kulinda wakubwa.mimi sihitaji cheo chadema wajiangalie na hata mchezo wa viti maalum wasirudie tena kupeana maana nasikia ni kujuana tu?acha niingie darasani kupiga chaki.

Wenzako watakuambia ulikosa cheo Bavicha.
 
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na umakini wa viongozi wake katika kuhakikisha kwamba vijana ni nguvu mabadiliko na wanauwezo wakuongoza na kulinda rasilimali za chama na mgawanyo wa madaraka.Sasa the top wa chama hicho wameamua kimyakimya kugawa madaraka/vyeo kwa watu wanaoona watatumika kulinda siri na mambo mbalimbali ya viongozi wa juu(zidumu fikra za Mwenyekiti)

Naweza kusema CHADEMA sasa imekomaa na kukua kuliko vile jamaa walivyokuwa wanategemea,kiasi kwamba imewawea vigumu kuukumbatia mbuyu huu wenye matawi yake karibia tanzania nzima.Hii imewapa wakati mgumu wamiliki wa chama namna gani wanaweza kulinda rasilimali zao na vyeo vyao....

Hao watu makini (tunaowaita sisi watanzania)wamekuja na mpango kabambe wa kuwagawia madaraka wale watu wanaoona watahakisha wanadumisha fikra za mwenyekiti

Naomba kutumia baadhi ya watu kama mifano tu...ilikuleta maana ya kile ninachokisema.

A.JOHN MNYIKA(Mbunge wa Ubungo)
Huyu ni mbunge wa jimbo la ubungo,amepewa majukumu ya fuatayo kuhakikisha nguvu ya vijana inaonekana.
1.Huyu ni mwenyekiti wa taasisi ya kiraia iitwayo ubungo foundation development.
2.Mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa kinondoni
3.Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA
4.Katibu wa wabunge wa CHADEMA
5.Waziri kivuli wa nishati na madini
6.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA
7.Mjumbe wa sekretarait wa CHADEMA makao makuu
8.Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA
9.Mkurugenzi wa habari na uenezi wa CHADEMA TAIFA
10.Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam
Hivi huyu mtu anajigawaje katika majukumu yote haya,bila shaka ni kpenzi cha the top kwa sababu anadumisha fikra za mwenyekiti.

B.HEZEKIEL WENJE
1.Mbunge wa Nyamagana Mwanza
2.Mjumbe wa kamati kuu ya Chadema
3.Mjumbe wa sekretarait wa Chadema
4.Na sasa Katibu mkuu wa chadema amemteua kuwa mkurugenzi wa mambo ya nje wa chadema ambapo automatic anahudhuria vikao vya utendaji wa chama makao makuu...ambavyo karibia kila baada ya siku 2 mbili vinafanyika nainatakiwa ahudhurie,,,Jimbo lipo wazi pale mwanza kwa sababu muda wake mwingi yupo pale makao makuu kwenye vikao vya chama.

C.MWIGAMBA
1.Ni mwandishi wa gazeti la Tanzania Daima(freeman mbowe)
2.Ni mwenyekiti wa mkoa wa arusha
3.NI muhasibu wa chadema makao makuu
Huyu ameacha mkoa ukiwa hauna mwenyekiti(Dr.slaa analiona hilo) nakuitwa kuja kusimamia fedha za chama(uhasibu wa chadema makao makuu)Hadi dakika hii Arusha hapana mwenyekiti wa mkoa wa chama.

D.BENSON MLAMBA
1.Katibu wa CHADEMA mkoa wa tanga
2.Afisa wa habari wa chadema makao makuu
Huyu ameondolewa tanga kuja pale makao makuu kwa sababu za kusaidia kukumbatia mbuyu usiguswe na watu wengine.Ameacha mkoa wa tanga bila kuwa na katibu...huku Dr. akijua kwamba mkoa wa tanga hatuna diwani wala mbunge na chama kina suasua,Kwa mantiki hiyo huyu mtu alikuwa nakazi ya kujenga chama pale tanga.

MY TAKE:
Kumbuka hakuna chama chenye vijana wasomi na wenye utashi/uthubutu mkubwa wa kufanya mambo katika tanzania hii kama CHADEMA.....Lakini hili si rahisi kuliona Dr.slaa kwa sababu vijana waliowengi wameshatumika kwenye mbio za uchaguzi mkuu na sasa hawana thamani tena ndani ya chama hiki.
Kuna vijana wengi sana wamejitolea kujenga chama na wengine wameshapoteza degree zao kwa sababu wanakipenda chama.Wengine wamethubutu kuingia katika vinyang'anyiro mbalimbali vya udiwani,ubunge na wengine wamekuwa wakijitolea kuratibu kampeni mbalimbali za CHADEMA lakini kwa sasa nikama makarai mabovu ya kujengea nyumba.

Je?Kama chadema bado hawachukua dola wamesahau vijana wao,itakuwaje wakishika dola?
Au huu ndio ule mkakati madhubuti wa kulinda na kula keki ya chama watu wa chache huku mkiweka MORANI(tajwa) pembezoni msiguswe?.

Najua kunawatakao tukana na kukejeli kwa sabubu wamepofoka na mapenzi yao juu ya chama,huku wakijisahau kuwa chadema kinamapungufu yake hasa katika matumizi ya rasilimali watu(vijana) na kuwa dampu kama taka.

kuna nafasi ADC UNAWEZA KWENDA.
 
Vijana wa CHADEMA siyo mpaka wote twende makao makuu tunakazi kubwa kuijenga CHADEMA vijijini swala la vyeo ni vitu vya kupita pigania chama kwanza vyeo baadae .Tunathami ni sana mchango wa vijana lakini tunahitaji pia vijana mfanye kazi kwa bidii kwa lengo la kujiletea maendeleo yenu ya taifa kwa ujumla.Sere ya chadema iko wazi kuwa rasilimali za taifa ziwanufaishe wazawa sasa itakuwaje kama vijana tutang'ang'ania wote tukakae makao makuu kuongoza?Tumia akili ujiletee maendeleo
 
Nadhani hii tabia ya wanachama wetu kugombana au kutofautiana na kuleta tofauti zao humu JF ni dharau kwa jukwaa hili. Hili jukwaa sio la CHADEMA, hili ni jukwaa huru kwa Watanzania. Jukwaa hili likifanywa la chama litapoteza maana ya uwazi na mijadala na hata Uhuru.

Imekuwa kawaida sasa watu wa chama changu kuleta tofauti zao humu na hivyo kuwapa maadui zetu kisiasa silaha za kutushambilia.

Hivi Mnyika hizo nafasi zilizotajwa anazo zimepatikanaje? Amegombea? Nyingi ya nafasi ulizotaja ni za kuombwa na wenzake ili kusukuma mbele harakati zetu za kufanya mabadiliko nchini. Sisi sote tuna nafasi zaidi ya moja. Hebu angalia mimi binafsi
Naibu Katibu Mkuu
Naibu Kiongozi wa Upinzani Bungeni
Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mashirika ya Umma
Waziri kivuli wa Fedha na Uchumi
Mwenyekiti wa Wabunge wanaotoka maeneo ya wavuvi
Kaimu Mwenyekiti wa Wabunge wa Kigoma
Mwenyekiti Mwenza wa Umoja wa Mabunge duniani kuhusu utatuzi wa migogoro
Mjumbe Kamati tendaji ya Wabunge wa Jumuiya ya Madola Africa Region
Mbunge Kigoma Kaskazini
Mwenyekiti wa Vuguvugu la Demokrasia ya Rasilimali (movement for Resources Democracy)

On and on and on

Wakati mwingine mambo tunayokuja kuyaanika hapa wenzetu wanatucheka. Mwanachadema yeyote anayekipenda chama chake ataleta kero zake kwenye chama, kwenye vikao vya chama. Acheni upuuzi huu wa kupika majungu na fitna. Tutaonekana hopeless kabisa. Majungu na fitna yaacheni CCM.

Mnyika na Wenje ni vijana wanaokua kisiasa na waacheni wakomazwe kwa kupewa majukumu. Wana uwezo nayo. Wakielemewa tutapunguza. Mbona juzi hapa Mnyika kaachia mwenyewe Ukatibu wa Wabunge na tumempa kijana mwingine Silinde?

Mwisho hakuna cheo cha Kaimu Katibu Mkuu. Pale Katibh Mkuu hayupo, Naibu huchukua nafasi. Pale wote hawapo Mkurugenzi yeyote wa chama anaweza kukaimu. Maana naona Mnyika anasakamwa sana na nafasi hii ya Ukaimu.

Zebu tuacheni tufanye kazi. Msituchonganishe

Asante sana.
Mimi binafsi nashukuru na napenda kutambua uwepo wako humu.
 
Hii thread imeisha makali yake, wamebaki wana CCM tu wakiangaika kuiendeleza. Mtoa mada ajarudi kujibu hoja za kina Zitto, Kitila, Mwanakijiji etc. Hamna haja ya kuendelea mpaka mwenyewe aje kujibu hoja zao, la sivyo tuta-assume ameshaelimika na tufunge thread.
 
huyu jamaa mi nimeshamzoea kwa kifupi tuntemeke ni mtu wa majungu siku zote nilishasoma post zake nyingi.....mara ya kwanza nilimjua jukwaa la nafasi za kazi.....akitafuta kazi na ana elimu yake alikuwa amepost ni form 4.......alipata division 4 ya 30....na alikuwa anatafutA AJIRA SERIKALINI NA AKAWEKA NAMBA ZAKE ZA SIMU.....HUYU JAMAA UPEO WAKE BADO MDOGO SANA
 
Kitu ambacho Tuntemeke hajakizingatia ni kwamba nafasi za uongozi katika vyama vya siasa, na hasa vyama vya upinzani, ni za kujitolea na haviambatani na maslahi yeyote yale. Ingependeza sana kama vyeo ulivyovitaja vingegawiwa kwa vijana wetu wanaomaliza vyuo vikuu na ambao wana mapenzi na CHADEMA na wana uwezo, lakini ukweli ni kwamba ni vigumu kuwaweka hawa vijana wajitolee tu hivihivi, nao pia wanahitaji maisha. Ndio maana ni rahisi zaidi kuwatumia wabunge kwa sababu wao tayari ni full time politicians na wanaweza kubeba majukumu yote hayo ya kisiasa bila kutetereka.

Kwa upande mwingine, wale wanaofanya kazi wanaelewa kwamba hata maofisini kuna watu ambao wana majukumu mengi zaidi kuliko wengine. Watu wote wanaonyesha uwezo na ufanisi katika kazi hujikuta wakirundikiwa majukumu lukuki wakati kuna watu wengine hukohuko maofisini wanatafuta kazi za kufanya. Uwezo wetu binadamu ni mkubwa sana-tunachotofautiana na bidii. Mwenye bidii atapewa majukumu zaidi na ndiyo inavyotokea kwa Mnyika na vijana wengine ndani ya CHADEMA. Hoja hapa ingekuwa je Mnyika amemudu majukumu aliyopewa? Kwa maoni yangu ningesema sana tena kwa sana. Sasa watu wenye bidii kama Mnyika wanapaswa kutiwa moyo, na sio kukatishwa tamaa.

Nashukuru sana kwa upembuzi makini mkuu.
Dots connected.
 
We lazima utakua umeathirika kwa namna moja ua nyingine juu ya umakini wa cdm sasa una wayaya,what is needed is commitment and capacity.UTAENDELEA KULIA SANA!
 
Mkuu kajipange kwa kweli..unaonekana una majungu na kutaka CHADEMA iwe na wakati mgumu kule Arumeru...hii hoja ni nyepesi sana kwasasa,majibu haya ya kamanda Gracious yanaweza kuonyesha unavyojifanya una nia njema na CDM kumbe ni unafiki,na uhafidhina...Umekuwa unakuja na hoja hasi dhidi ya CDM tangu kampeni za kuwania jimbo la Arumeru zianze..nahukakikishia wewe ni kama chura mbele ya Tembo...hautatuzuia kunywa maji...ni bora utafute namna nyingine za kuja na hoja na sio kuleta siasa mavi hapa JF...Naanza kuwa na shaka na uwezo wako wa kufanya analysis na kuwa-updated na taarifa za hii nchi kama ambavyo kamanda Gracious kaonyesha kwenye comment yake hapa chini...nakushauri nenda kajifunze kuandika kwenye majukwaa ya kisomi kama JF hapa sio Twiteer au Facebook....Kama unaleta hasira zako za kukosa nafasi za uongozi BAVICHA basi ujue vijana wa CDM hatudanganyiki,na wala hatuondoki CDM....

JOHN MNYIKA(Mbunge wa Ubungo)
Huyu ni mbunge wa jimbo la ubungo,amepewa majukumu ya fuatayo kuhakikisha nguvu ya vijana inaonekana.
1.Huyu ni mwenyekiti wa taasisi ya kiraia iitwayo ubungo foundation development.-INA UHUSIANO GANI NA CHADEMA?
4.Katibu wa wabunge wa CHADEMA-KATIBU NI SILINDE LABDA UKO LESS INFORMED
6.Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA-KWA UWEZO WAKE ANASTAHILI
8.Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA-zitto ni nani?
10.Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam-Hii si nafasi ya CDM

Matusi hutapata na kejeli utapata maana ndio yanakufaa kulingana na uwezo wako na mawazo yako..Hili ombi lako kuwa watu wasitukane unategemea kwa uharo huu nani asitukane? Na sitashangaa watu wakila ban kwasababu ya thread zako chafu,za kijinga na zisizo na tija kwa ukombozi wa taifa hili....

Najua kunawatakao tukana na kukejeli kwa sabubu wamepofoka na mapenzi yao juu ya chama,huku wakijisahau kuwa chadema kinamapungufu yake hasa katika matumizi ya rasilimali watu(vijana) na kuwa dampu kama taka.
 
Topical, sijamshauri kuficha maovu kwa sababu mimi mwenyewe ni mkosoaji!. Kwa vile yeye ni Chadema tena anaonekana ni inside man, kwanza sio busara siri za ndani kuzitoa nje!. Pili saa hizi mmekusanyika sebuleni wageni kibao kujadili mahari ya mwali mpya kwa jina la Arumeru, sio vizuri kuanza kuanika kulalamika mbele ya wageni kisa tuu wewe ulikosa nyama!. Acha wageni wa mahari waondoke kalipieni hiyo mahari mumpose mchumba na mkishampata mchumba "Arumeru" ndipo unapeleka malalamiko yako. Hii sio timing nzuri kulalamika!. Mwenzenu ambae haio, mwishoe ataoa huku mnashuhudia!, shutuma zote za kumkosa mchumba zitakushukia wewe!.

Ila pia huyu jamaa ana tabia za kike zinaitwa 'naging' yaani analeta gubu kwa Chadema kama mke aliyeichoka ndoa sasa anafanya visa ili apewe talaka ndipo aende kwa bwana mwingine!. Namshauri ajiendee zake kwa huyo bwana bila kuleta kashfa kibao!. Tuntemeke just go!.

Mkuu Pasco, Tuntemeke ameleta "Hoja" au " Tuseme" Changamoto. Ni kweli hapa Jukwaani kuna Mchanganyiko wa Watu wasiopenda kukosolewa na wanaopenda kukosolewa kama Njia ya Kujifunza. Kabla sijasema kwamba Naunga Mkono hoja ya Tentemeke Naomba Nikuulize Swali ambao Majibu yake ningependa niwe nayarudia rudia ( Nakuuliza Wewe kwa Sababu ndugu Tuntemeke hataweza kujibu kwa Sababu zilizo wazi).

Tunte ametoa Allegations kwa CDM pamoja na Dokta Slaa, Kwamba CDM na Dr. Slaa wamemlundikai Vyeo kumi (10) Mheshimiwa Mnyika. Ningependa Pasco unasaidie kujibu Maswali yafuatayo juu ya Vyeo ambavyo ndg Tuntemeke anatuhumu CDM na Dr. Slaa kumlundikia Mnyika

1. Mkurugenzi wa vijana makao makuu ya CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Mkurugenzi wa Vijana CDM?

2. Katibu wa wabunge wa CHADEMA

Je Ni Kweli Mnyika ni Katibu wa Wabunge wa CHADEMA?

3. Kaimu katibu mkuu wa CHADEMA TAIFA

Je Kuna Cheo Cha Kudumu kinachoitwa "Kaimu" Kokote katika taasisi yeyote hapa Duniani? Kaimu Katibu Mkuu wa CCM ni Nani

4. .Katibu wa wabunge mkoa wa Dar es salaam

Je Katibu wa Wabunge wa Mkoa wa Dar Es Salaam anachaguliwa na CDM au Dr. Slaa?

Nitashukuru sana Bwana Pasco au Tuntemeke au Ritz kama atajikozea na Kujibu Haya Maswali
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom