CHADEMA kukubali kupokea ruzuku na kupeleka wabunge wengine wa viti maalum?

Ila kwa sasa kuna Challenge ya kukusanya 1B kwa siku saba (7), #JoinTheChain , Hii ni kuonyesha kuwa chama chaweza kujiendesha na kuendelea na harakati za kuitafuta HAKI, bila kutegemea hiyo ruzuku
Wajinga ndio waliwao
 
Mliamuwa kuwanunua COVID 19,kwa kuwapa rushwa Tena kwakuwatisha, kwa msaada/mgongo wa mzee wa bakora, tumempa shinikizo hatimae ameona aibu akabwaga manyanga, na hivi Sasa tunalia na COVID-19, na tartiibu COVID 19 inaelekea kusarenda . Lengo letu tuokoe Kodi ya mlala hoi inayofujwa Kwa kutoa hongo kwa COVID-19. Sasa mnalia mipango yenu ovu imeshindwa na kuparaganyika. Mungu ni mwema kila wakati. Hasta magumu kwake siichochote.
Njaa tupu huko ufipa.
 
Hapa issue ni survival, mwanzo waligomea matokeo na kusema hawautambui uchaguzi, hawayatambui matokeo na hawamtambui mshindi na wakagoma kuteua wabunge viti maalum.
Sasa wametambua na kukubali matokeo, mbele ya survival, hakuna mkate mgumu mbele ya chai, lazima utalainika tuu!.

P
Hapa negotiation si naaliyekataliwa kuwa sii mshindi, ila japo Bado wapo waliosehemu ya ushindi uliokataliwa, na pia uamuzi ni baada negotiation
 
Hakuna negotiations yoyote, kinachofanyika ni bowing down, hakuna tena kushupaza shingo, sasa ni kupiga magoti kunyenyekea.

Tena kwenye ile issue kule, atakutwa guilt na kupigwa mvua kadhaa, kisha Mama ataitekeleza ile "kusameheana kupo", atamsamehe na kutoka mabega chini!.
P
 
Mliamuwa kuwanunua COVID 19,kwa kuwapa rushwa Tena kwakuwatisha, kwa msaada/mgongo wa mzee wa bakora, tumempa shinikizo hatimae ameona aibu akabwaga manyanga, na hivi Sasa tunalia na COVID-19, na tartiibu COVID 19 inaelekea kusarenda . Lengo letu tuokoe Kodi ya mlala hoi inayofujwa Kwa kutoa hongo kwa COVID-19. Sasa mnalia mipango yenu ovu imeshindwa na kuparaganyika. Mungu ni mwema kila wakati. Hasta magumu kwake siichochote.
Kodi ipo pale pale,kwani Covid-19 wapo bungeni wakiwakilisha Chadema.
 
Shida yenu chadema ndio hiyo, mnakuwa kama wote wavuta bangi
Kwa hiyo unataka waendelee kubishana tu? Taifa ni moja wacha wamalize tofauti zao, Kama sio mlozi utakuwa mchawi we mbwa.

Halafu sio kila anayekupinga mawazo yako ya kijinga unahisi ni chadema mjinga sana wewe.

Wacha watanzania wapatane umekaa kipashkuna sana mjinga sana wewe we need unity.
 
Sasa mpaka utukane? Uwez kuongea Kwa kawaida Tu? Hapa sio Badoo au Facebook, Acha ujinga wako,

Hapa watu wanashindana kwa hoja sio matusi,

Unaongea mambo hata ujui, unaongea vitu vya hewani Tu

Hao chadema wangekuwa wanataka kumaliza na kuelewana na serikali then since long time ingakuwa tayari

Shida yenu mnajifanya wajuaji sana namnadanganyana Sana,

Mmeeenda kulialia UN mbowe atoke mbona mpaka Leo Yuko ndani?

Mlijifanya mnaela mbona sasa mnaenda kudai ruzuku baada ya Harambee yenu kufeli?

Hakuna mtu anaweza kushindana na serikali Nyau mweusi ww
 
Unapaswa kutukanwa sababu ni mjinga sana unaongelea Badoo na Facebook unahisi mie wa huko sababu ni mpumbavu Kama wewe angalia nimejoin link stupid
 
Sasa mpaka utukane? Uwez kuongea Kwa kawaida Tu? Hapa sio Badoo au Facebook, Acha ujinga wako,

Hapa watu wanashindana kwa hoja sio matusi,

Unaongea mambo hata ujui, unaongea vitu vya hewani Tu

Hao chadema wangekuwa wanataka kumaliza na kuelewana na serikali then since long time ingakuwa tayari

Shida yenu mnajifanya wajuaji sana namnadanganyana Sana,

Mmeeenda kulialia UN mbowe atoke mbona mpaka Leo Yuko ndani?

Mlijifanya mnaela mbona sasa mnaenda kudai ruzuku baada ya Harambee yenu kufeli?

Hakuna mtu anaweza kushindana na serikali Nyau mweusi ww
Ndio tunapatana na Samia hatukumtaka yule bwanako aliyekufiiikirrr fala wewe go and fck yo slf
 
Kwa mujibu wa gazeti la Raia Mwema, Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, kipo njiani kupigilia msumari maamuzi ya kuwatimua uanachama akina Mdee na wenzake, Kisha kupeleka wabunge wengine wa viti maalumu bungeni.

Pia CHADEMA ipo tayari kupokea ruzuku, ikumbukwe kuwa CHADEMA wanatakiwa kupata ruzuku ya zaidi ya milioni 100 Kwa mwezi na takribani miezi 17 Sasa hawajachukua ruzuku toka uchaguzi mkuu wa 2020, hivyo wanadai zaidi ya Bilioni 1.7 za Kitanzania kutoka hazina

Source: Raia Mwema
wanadai zaidi ya Bilioni 1.7 za Kitanzania kutoka hazina
Mungu ibariki CHADEMA
 
1646318625833.png
 
Back
Top Bottom