Chadema kujutia ubabe wao arusha | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kujutia ubabe wao arusha

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by kanyasu, Aug 8, 2011.

 1. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #1
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Leo nilikuwa sombetini wazee wa arusha sasa wamegundua kuwa chadema ni chama cha udikteta,vijana na baadhi ya kina mama ambao bado wanawaunga mkono madiwani waliotimuliwa wameapa kuwafata katika chama chochote na kuwapa udiwani kwa kuwa ni wazi kuwa wameonewa.katika hali ya uoga mkubwa kamati kuu ya chadema imeona iende arusha ikatulize upepo kwa kufanya mikutano mpaka kwenye kata lakini taarifa za sahihi amabazo sisi tulio hapa arusha zinaonesha haitasaidia kitu.
   
 2. M

  Mjenda Chilo JF-Expert Member

  #2
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 20, 2011
  Messages: 1,425
  Likes Received: 63
  Trophy Points: 145
  Nafikiri unatakiwa kujua CDM ni tofauti na CCM hapo CDM wameweka misingi ya kueleweka. Na ndo kweli chama chenye msimamo kinavyotakiwa kufanya. Vichwa vya CC ya CDM unavijua lakini? au unaropoka tu ndugu yangu? Bora kubaki na wapiganaji halisi wachache kuliko kuambatana na kundi la wapiganaji mamluki. Utaelewa tu.
   
 3. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #3
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Ausha sio sombetini tu Kanyasu kama umekutana na genge la washabiki huko usidhani ni mji mzima hao wakitaka waende magamba labda watapata, la muhimu sio kuvipata viti vya udiwani (ambavyo vitapatikana hata wao wanajua) ila heshima kwa chama ipo pale pale kwahiyo cha kujutia halipo zaidi ya kusonga mbele.
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,709
  Trophy Points: 280
  Nadhani maana ya UDIKTETA ulio nayo si universal!
   
 5. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #5
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe fara nini ? Unazani mimi ninafata upepo kama wewe? Kuna nani humo tusiye mjua au wewe kwa kuwa una waabudu unazani kila mtu ? Hao ni wajinga wajinga tu kama wewe.
   
 6. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #6
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Heshima kwanza madaraka baadae.
   
 7. kanyasu

  kanyasu JF-Expert Member

  #7
  Aug 8, 2011
  Joined: Feb 9, 2009
  Messages: 235
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wewe udikteta unao ujua ni upi?
   
 8. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #8
  Aug 8, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  <br />
  <br />
  chadema ni madicteta na maamuzi yameshafanyika so what!?
   
 9. Mwita Maranya

  Mwita Maranya JF-Expert Member

  #9
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2008
  Messages: 10,569
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  sasa hasira za nini wakati uchaguzi utakuja na itajulikana mbivu ni zipi na mbichi ni zipi? chadema hawakuwatimua hao madiwani kwa kutarajia mteremko, walijua kuna kazi kubwa ya kufanya lakini heshima ni lazima kwa taasisi yoyote.
   
 10. The Emils

  The Emils JF-Expert Member

  #10
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 16, 2011
  Messages: 570
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  mkuu hapa unatutadanganya sombetini ipi unaeizungumzia wewe? kama hii ambayo hata mimi pia naijua tena yenye bendera nyingi za cdm zikipepea kandokando ya barabara basi labda umeambiwa na mtu mmoja tu...hebu jaribu kufanya reseach kidogo mkuu unaweza ukatoka na jibu sana...
   
 11. samito

  samito JF-Expert Member

  #11
  Aug 8, 2011
  Joined: May 16, 2011
  Messages: 621
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Arusha haifanyiwi maamuzi na WAZEE wewe, majority ya wapiga kura ni watu wa rika la kati so hao wazee wa sombetini sijui umewatoa wap. Mi ni mwana arusha ni ninasuport CHADEMA kwa nguvu zote, ikifika siku ya kupiga kura nawasha mnyama nambeba wife na watoto tunaenda piga kura. we umekaa tu hapo ung'aza sharubu
   
 12. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #12
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Kanyasu, nendeni tu haraka sana CCM. Huko ndiyo mkifika mwaweza kuonyesha UBABE na hakuna wa kuwatimua.

  Mnaweza kuja kuwa mnawadindia hata akina Mukama au ikibidi Kikwete mwenyewe kama Mwenyekiti na mambo yatakuwa mswano tu.

  Hata wakipoteza viti vyote, hakuna shida Kwanza ni viti vinne tu maana mmoja ni wa Kuchaguliwa. Hali ikienda hivi, wenyewe kwa wenyewe sasa wataanza kutupana maana haitajulikana waende chama kipi ingawa dalili zinaonyesha kuwa wataenda CCM.

  CCM pia sidhani wataweza kumchukua MSALITI. Lengo lao limetimia na jamaa wamefukuzwa. Mambo yatakuwa mabaya sana kwao watakapokwama kuingia chama chochote kile. Wee unasema eti wakienda chama chochote, wataenda nao, una uhakika? Kwenye vita hii kuna wengine waliwachagua kwa kuipenda Chadema na wengine kweli kwa kuwapenda wao. Tatizo ni je chama chao kipya kinapendwa na Wananchi wengi wa jimbo hilo? Sidhani kama watafaidika sana kama wao walivyopanga. Wameicheza karata hii vibaya sana na itakula kwao tu.

  Siku ya mkutano, inatosha tu kuwakaribisha Madiwani walioomba radhi waje wamwage yote waliyokubaliana na kwa nini wao walikubali waombe radhi na leo wamo ndani ya chama. Nakihurumia zaidi hiki kimama cha KUCHAGULIWA maana hicho hata KATA hakina sasa sijui kitaenda wapi. Labda kama kweli Magamba walikipa hela nzito sana. Hawa ndiyo IMETOKA KISIASA. Wameshawekwa msalaba wa WASALITI-Handle with care.
   
 13. sweetlady

  sweetlady JF-Expert Member

  #13
  Aug 8, 2011
  Joined: Dec 24, 2010
  Messages: 16,982
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  hao wazee pamoja na wewe wote hamna akili. Hao wasaliti warudi ccm , huko ndiko kwenye maamuzi ya wazee. CDM hawatakiwi tena!
   
 14. Sikonge

  Sikonge JF-Expert Member

  #14
  Aug 8, 2011
  Joined: Jan 19, 2008
  Messages: 11,503
  Likes Received: 539
  Trophy Points: 280
  Ukisikia Ayiiii, jua huyo JIWE LIMEMPTA, kwikwikwiiiiiii...... :)
   
 15. d

  davestro Senior Member

  #15
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 29, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wangeachwa ingesemekana wameogopwa na hakuna tofauti ya CDM na CCM!,Hatua iliyochukuliwa mna-diss
   
 16. NGUVUMOJA

  NGUVUMOJA JF-Expert Member

  #16
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 1,353
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  Nilipita kuchungulia tu.
   
 17. C

  CBN Member

  #17
  Aug 8, 2011
  Joined: Aug 5, 2011
  Messages: 64
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  wewe ndio taahira sasa usiyejua maana ya upinzan. Kwani hao madiwan ndio chadema au ndio waliokileta chama.. Kuwa na akili,ukitaka kushika madaraka lazma uwe na mipango ya muda mrefu. Na huku hatutaki mamluki kama kwnu. Unafikiri huku ikifikia kwnye swla la kujivua gmba tunaangliana usoni..?? Chadema ndio kwnza wameanza.
   
 18. Suip

  Suip JF-Expert Member

  #18
  Aug 8, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,042
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Wana wa Arusha hayo malumbano yatawafisha wapi? CCM na CDM ni vyama vya siasa na nia yao ni kuwachanganya ili kufikia malengo yao ya kushika madaraka.
   
 19. fredmlay

  fredmlay JF-Expert Member

  #19
  Aug 8, 2011
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,855
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Kanyasu nakupa home work moja, hebu pita leo na bendera ya ccm huko sombetini kuanzia dodoma rd mpaka shuleni hasa mida hii ya jioni upime upepo wa kisiasa halafu ukisalimika rudi jamvini tujuze yaliyojiri
   
 20. Michael Scofield

  Michael Scofield JF-Expert Member

  #20
  Aug 8, 2011
  Joined: Jul 30, 2011
  Messages: 1,218
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Majibu ya haya malumbano ni siku ya uchaguzi wa marudio, ndo mtaona kama maamuzi ya CDM yalikuwa hasi au chanya.
   
Loading...