CHADEMA KUJIFUNIKIA NDANI WENYEWe?

Kachanchabuseta

JF-Expert Member
Mar 8, 2010
7,269
675
RIP Chadema

Mimi nilisema kuwa chadema haitachukua miaka 2 sasa hivi wanaweza kujizika wenyewe
Je nani atawasadia kuwafunika maana mlango umeishafunguliwa?

Sarkofagus_Lux_Coffin.jpg
 
Wewe utawasaidia kuwazika. Maana si unatumia nguvu za majini ya sheikh yahya,utaweza kuingia ndani hata ka milango imefungwa.
 
Ndoto za fisi kufukuzia mkono wa binadamu. Laleni usingizi mkidhani kitakufa mtaona 2015. Dua la kuku.....
 
Mshikaji una ngoma nini, mbona unaota kufa kufa tu? Muombe JK muende wote kuchakachuliwa damu.
 
QUOTE=Fidel80;Umeacha kumuhulia ndugu yako Maralia Sugu apone wewe unawahurumia hao una undugu nao?

Huyu ni Malaria Sugu akitumia ID nyingine. Angalia hasivyojua kuandika kiswahili. Iyo ni alama tosha kua huyu ni MS at his best.
 
Hata mimi nahisi ni yeye. Hata hivyo anota ndoto za alinacha. mwaka upi anosema hauishi? 2010? Labda CCM ndio itakufa
 
Mwaka huu hautaisha kitazikwa na wao wenyewe

hiyo ni 1st move

Aliposhida JK awamu ya kwanza kwa kishindo,nani aliamini kutakua na upinzani tena?sote tuliamini upinzani ulikua umezikwa na hata ilisemekana JK kaja kuua upinzani,nakumbuka kauli hiyo ilisemwa na Lipumba,akionyesha kukata tamaa kabisa,hata sisi wapenzi wa chadema tulikata tamaa.Nini sasa kimetokea mwaka huu,waliokua wamekata tamaa wamefanikiwa mara tano zaidi ya uchaguzi ulopita,walodhaniwa wamekuja kuua upinzani wameshuka toka 81% mpaka 61%.Unadhubutu vipi leo kusema Chadema inakufa? Kama bunge lililopita chadema walikua na wabunge wa kuchaguliwa 5,la sasa wakuchguliwa 23 ni mara 5 zaidi achilia mbali uchakachuaji ulofanywa,then kimahesabu ya probability,uchaguzi ujao wana uwezo wa kufanikiwa mara 5 zaidi ya wa sasa,hivyo kuwa na wabunge wa kuchaguliwa 115 baada ya kuchakachua,achilia mbali viti maalum.Kwa hiyo mkuu cheza na takwimu si kuropoka.
 
Sasa ndo chadema inazikwa upinzani ndo basi tena
 
Pole kwa kuwa na mawazo finyu..endelea kuamini hivyo na uendelee kufanya ujinga wako kwa kuamini kuwa nguvu za watu huwa zinazikwa!! pole we:A S-alert1:
 
.....kwa nini umewapa watanzania 'jk wa uongo' il-hali wewe 'jk wa ukweli' upo? Now i know kwa nini 'jk wa uongo' ana-perform vibaya hivi, kumbe akili zake ni za uongo maana si 'jk wa ukweli'. Na kama 'jk wa ukweli' unaongea pumba hivi, basi kuna tatizo kubwa ndani ya ccm maana naona afadhali 'jk wa uongo'
 
rip chadema

mimi nilisema kuwa chadema haitachukua miaka 2 sasa hivi wanaweza kujizika wenyewe
je nani atawasadia kuwafunika maana mlango umeishafunguliwa?

sarkofagus_lux_coffin.jpg

limekaa vizuri sana hili dude,ndo maandalizi nini?
Au umegundua ukianguka hauta amka tena?

Rip,ngoja nikuage mapema maana siku hiyo ntakuwa busy sana na mambo ya kujenga taifa
 
Back
Top Bottom