jingalao
JF-Expert Member
- Oct 12, 2011
- 35,951
- 29,532
Taarifa kutoka magazetini zinasema Chadema watafanya mkutano katika uwanja wa barafu jijini Dar kuongelea suala la Lugumi.
HOJA YANGU
Sio mbaya kwa Chadema kuitisha mkutano na kuongelea ufisadi na ubadhirifu ikiwa watafanya hivyo kwa dhamira ya kweli ya kuupinga ufisadi,bahati mbaya dhamira ya kupinga ufisadi ndani ya Chadema ilishaondoka baada ya kumkaribisha Kubwa lao katika ufisadi.
Leo hii Chadema inaitisha kikao kwa ajili ya Lugumi lakini ilikaa na naamini itaendelea kukaa kimya kwenye sakata la wizi wa fedha kupitia Stanbic zilizohusisha mwanamkakati wa Lowassa katika kampeni za 2015.
Kwa ufupi niseme kuwa Chadema hawana nia ya dhati ya kupambana na ufisadi bali wapo kwenye jitihada za kujikwamua kisiasa(NITOKE VIPI)
WITO
Katika mkutano wenu msisahau kuongolea suala la wizi wa mabilioni kupitia Stanbic.