Chadema kuitisha Maandamano nchi nzima kumuunga mkono Kamanda Lema | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kuitisha Maandamano nchi nzima kumuunga mkono Kamanda Lema

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Ritz, Nov 1, 2011.

 1. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Wakuu JF,

  Nimepewa habari na jamaa yangu wa karibu ambae ni mmoja wa viongozi wa juu wa Chadema.

  Kaniambia kuwa Chadema wanajipanga kufanya maadamano makubwa nchi nzima kupinga kitendo cha polisi kumnyanyasa kamanda Lema, mbunge wa Arusha Mjini.

  Mipango ya maandalizi inafanywa Mwenyekiti wa Bavicha taifa, John Heche
   
 2. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #2
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Wewe hayo maandamano yanakuhusu nini???
   
 3. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #3
  Nov 1, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Kwa hiyo? Tatizo lako ni nini? Magamba kwa wasiwasi!
   
 4. L

  LAT JF-Expert Member

  #4
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  ficha upumbavu wako
   
 5. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #5
  Nov 1, 2011
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 164
  Trophy Points: 160
  Yaani wewe ni punga kweli.
   
 6. F

  FJM JF-Expert Member

  #6
  Nov 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwenye ile thread nyingine (jukwaa la siasa) umeandika unatamani watu wa Arusha wangegoma kwa mwezi mzima ili washindwe kupeleka mahesabu kwa mabosi wao (kama wewe unavyofanyiana mahesabu na Nape), sasa hapa umeleta kuwa CHADEMA wanaandaa maandamano nchi nzima! Na kwa nini usiweke hii thread kwenye jukwaa la siasa? unakimbia nini?
   
 7. OTIS

  OTIS JF-Expert Member

  #7
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 2,144
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Chama cha maandamano na mazishi.
  OTIS.
   
 8. only83

  only83 JF-Expert Member

  #8
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180
  Wewe hujui yanawahusu vp watanzania? mbona CCM wamekufanya umekuwa mvivu hata kufikiri...
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Nov 1, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kule kumejaa thread za Lema tu, bahati nzuri mimi siogopi mtu humu JF nakuheshimu unapo niheshimu ukileta dharau mimi naleta kiburi
   
 10. MR. DRY

  MR. DRY JF-Expert Member

  #10
  Nov 1, 2011
  Joined: Oct 5, 2011
  Messages: 639
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 35
  hiyo ndo issue iliyoko hot, au unataka tuongelee baba riz akubali ushoga TZ ili kupewa misaada.......mjini shule!
   
 11. jogi

  jogi JF-Expert Member

  #11
  Nov 1, 2011
  Joined: Sep 25, 2010
  Messages: 19,335
  Likes Received: 12,799
  Trophy Points: 280
  kiburi cha kinyago ni hasara ya kinyago chenyewe, na heshima ya kinyago ni kuwa uchi (ref. avater yako)
   
 12. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,774
  Trophy Points: 280
  Maneno ya kwenye kanga.
   
 13. Daudi Mchambuzi

  Daudi Mchambuzi JF-Expert Member

  #13
  Nov 1, 2011
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 31,778
  Likes Received: 36,774
  Trophy Points: 280
  Huna haja ya kuwa na jamaa wa karibu na CDM ili kupata taarifa za John Heche. Hii tunaita 'changes on fingers'.
  [h=6] John Heche[/h]
  • [​IMG][h=6]Nimesikitishwa sana na kitendo cha OCD wa arusha kwa kutumia polisi kuongoza hujuma dhidi ya mbunge wa arusha mjini bwana GODBLESS LEMA na chama chetu cha chadema, ukandamizaji kama huu umekua ukifanywa sehemu nyingi za nchi yetu hasa maeneo ya tarime ambapo sio rahisi mwezi ukaisha bila kusikia polisi wameua binadamu kwa risasi kwa kisingizio cha kulinda mgodi wengine wengi wanawekewa kesi za kubambikiza za murder na armed robery bila hata kufanya makosa hayo, sisi Bavicha hatutafumbia macho ukandamizaji wowote dhidi ya wananchi na viongozi wetu, nitakwenda arusha kuhakikisha tunaongoza wananchi kudai haki yao, Hongera LEMA hongera Arusha, haki haiombwi haki inatafutwa na kupiganiwa.[/h]


   
 14. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #14
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Arsenal haijafungwa tu
   
 15. D

  Dopas JF-Expert Member

  #15
  Nov 2, 2011
  Joined: Aug 14, 2010
  Messages: 1,151
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naona unawashwa masaburi!
   
 16. Duduwasha

  Duduwasha JF-Expert Member

  #16
  Nov 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 5,132
  Likes Received: 2,157
  Trophy Points: 280
  Arsenal haijafungwa tu
   
 17. M

  Mrdash1 JF-Expert Member

  #17
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,379
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Jamani huyu ritz shida yake hasa ni nini? ndadhani wana JF na MODS tukifuatilia posts zake humu JF hazina tija wala hazichangii chochote kwenye kuelimishana na kupeana habari, kuna haja gani ya mtu huyu ya kuendelea kuwepo kwenye jamvi? Naamini uhuru wa kutoa mawazo na kutofautiana na wengine lakini mawazo ya mtu yanapokuwa yameganda kwenye nadharia moja tu bila diversity of ideas manufaa yake kwenye jamvi yanakuwa ni hafifu sana na makusudi ya kuwepo forums kama hii yanakuwa hayatimizwi. Nadhani si vibaya mtu kama huyu akitupwa kapuni ili kutoa nafasi kwa watu wengine wenye uelewa na mawazo mapana
   
 18. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #18
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,671
  Trophy Points: 280
  Kwa hiyo CDM wakichukuwa nchi watu wote watakao wapinga wote mtawanyonga?

  Acha Udikteta, ushauri wangu kwako jaribu kufungua Forum yako uchague watu, JF ni Forum huru sio mali ya CDM kama unavyodhani..

  Kama wewe upendi michango yangu ipotezee tu, kuna watu wanapenda michango yangu na nimepata marafiki wengi sana humu JF..

  Wewe kwani wewe una mchango gani humu JF? Kwanza mimi hata sikujui ndio leo nimekuona, kuna watu wana michango makini humu baadhi yao kama..

  Mwanakijiji
  Mkandara
  Pasco
  na wengine wengi wewe nani anakujua, endelea na majungu yako ya kike
   
 19. K

  KIM KARDASH JF-Expert Member

  #19
  Nov 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2011
  Messages: 5,083
  Likes Received: 60
  Trophy Points: 145
  CHADEMA Bwana mi nilidhania maandamano ya kupinga malipo ya dowans kumbe maandamnano kwa ajili ya mwizi wa magari mstaafu,poa lakini,ila issue ya dowans chadema na cuf wamekua kimya mno,yani mnatuachia wanaharakati peke yetu,hii imekaaje wadau hamna mkono wa mtu hapa,maana mafisadi yana mfuko mpana..
   
 20. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #20
  Nov 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Cheap popularity!!!
  If you are truly Riziwani J.K, then this is not your portion. if you are another being but at least with the 1st degree, you are shaming up the forum of the learned by your desire to always justify the unjustifiable. Shame on you!!!!
   
Loading...