kavulata
JF-Expert Member
- Aug 2, 2012
- 13,423
- 13,935
Tanzania inatakiwa ijitayarishe kushirikiana na Rais yeyote wa Kenya ambae atakuwa chaguo la Wakenya wenyewe. Inanishangaza Chadema kuchagua Nani awe Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta. Hivi ikitokea Raila akishinda na Lowassa nae akishinda uchaguzi itakuwaje?