Mhh! Chatu, sipendid mipicha picha ya nyoka nyoka, lakini nitafurahi ikitokea...
Wewe unaitwa Nata, unajua maana yake?Mie simpendi chura aah mtanifanya niichukie chadema bure!
<br />Katuni mchemsho tu hii! Chadema imeze CCM ambayo tayari imeshameza wengine ili ibakie peke yake, au??! Si tutabakiwa na chama kimoja kisichokuwa na mpinzani, hivyo kurudi kule kule tulikotoka. Isitoshe, kama kikaragosi kinavyoonekana, baada ya chura kufanikisha kummeza nyoka lazima atabadilika umbo na rangi na kuwa dudu jingine tu, maana umbo la nyoka kwa uwiano ni kubwa mara kadhaa ya huyo chura.