Chadema Kuimeza CCM? Tizama hiki kibonzo!

Mboko

JF-Expert Member
Joined
Oct 8, 2010
Messages
1,072
Likes
10
Points
135

Mboko

JF-Expert Member
Joined Oct 8, 2010
1,072 10 135
Hapa tuzidi kumuomba Mungu kwani itawezekana sana tu,angalia serikali hii ya CCM na vilaza wao ati wanasherehekea miaka 49 ya uhuru halafu wanajigamba tumefika mbali nyambafu mbali wanakufahamu wao na sio mie angalia kajimvua kadogo tu Dar kama kitivo cha mpunga,umeme,maji safi hakuna ati sherehe za uhuru ni sawa kusherehekea lkn wasitudanganye ati tumefika mbali wakati vitu vidogo tu wanashindwa kusimamia.Wao wanasherehekea jinsi wanavyoshiba kwani pale watatenga hela kubwa tu then wanasema ilikuwa ya maandalizi ya sherehe kumbe watatumia kidogo tu then nyingi wanagawana nyambafu i hate CCM na serikali yake na Rais wao pia
 
Steve Dii

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2007
Messages
6,419
Likes
75
Points
145

Steve Dii

JF-Expert Member
Joined Jun 25, 2007
6,419 75 145
Katuni mchemsho tu hii! Chadema imeze CCM ambayo tayari imeshameza wengine ili ibakie peke yake, au??! Si tutabakiwa na chama kimoja kisichokuwa na mpinzani, hivyo kurudi kule kule tulikotoka. Isitoshe, kama kikaragosi kinavyoonekana, baada ya chura kufanikisha kummeza nyoka lazima atabadilika umbo na rangi na kuwa dudu jingine tu, maana umbo la nyoka kwa uwiano ni kubwa mara kadhaa ya huyo chura.
 
mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Messages
3,160
Likes
145
Points
160

mchemsho

JF-Expert Member
Joined Jun 8, 2011
3,160 145 160
Katuni mchemsho tu hii! Chadema imeze CCM ambayo tayari imeshameza wengine ili ibakie peke yake, au??! Si tutabakiwa na chama kimoja kisichokuwa na mpinzani, hivyo kurudi kule kule tulikotoka. Isitoshe, kama kikaragosi kinavyoonekana, baada ya chura kufanikisha kummeza nyoka lazima atabadilika umbo na rangi na kuwa dudu jingine tu, maana umbo la nyoka kwa uwiano ni kubwa mara kadhaa ya huyo chura.
<br />
<br />
steve kulikoni kunihusisha na kunitaja kwenye hiyo katuni eti MCHEMSHO..
 
Forum statistics

Threads 1,203,472
Members 456,787
Posts 28,114,626