sherehe za siku ya uhuru wetu 9.12 ndio hiyooo inakaribia sasa kama kawaida rais wa jamhuri ya muungano huwa mgeni rasmi na msemaji siku hiyo, jee, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mbowe na mgombea urais alieshindwa wa chadema pamoja na wenzao watahudhuria sherehe hiyo au kususia?
au hisia zao ni bungeni tu lakini kwingineko wako tayari kumsikiza rais akihutubia? Ni swali tu nauliza jazba na matusi hapana!
au hisia zao ni bungeni tu lakini kwingineko wako tayari kumsikiza rais akihutubia? Ni swali tu nauliza jazba na matusi hapana!