Chadema kuhudhuria sherehe za uhuru?

Kadogoo

JF-Expert Member
Feb 26, 2007
2,073
341
sherehe za siku ya uhuru wetu 9.12 ndio hiyooo inakaribia sasa kama kawaida rais wa jamhuri ya muungano huwa mgeni rasmi na msemaji siku hiyo, jee, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mbowe na mgombea urais alieshindwa wa chadema pamoja na wenzao watahudhuria sherehe hiyo au kususia?

au hisia zao ni bungeni tu lakini kwingineko wako tayari kumsikiza rais akihutubia? Ni swali tu nauliza jazba na matusi hapana!
 
Kama kawaida hoja za ovyo ovyo tu!
 
kama kawaida yake rev. Ni kebehi na matusi tu!!!
asante rev, next........
 
sherehe za siku ya uhuru wetu 9.12 ndio hiyooo inakaribia sasa kama kawaida rais wa jamhuri ya muungano huwa mgeni rasmi na msemaji siku hiyo, jee, kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni mbowe na mgombea urais alieshindwa wa chadema pamoja na wenzao watahudhuria sherehe hiyo au kususia?

au hisia zao ni bungeni tu lakini kwingineko wako tayari kumsikiza rais akihutubia? Ni swali tu nauliza jazba na matusi hapana!

Sawa mkuu hakuna jazba na matusi, ila na wewe unapoandika uwe makini maana hapo kwenye red, hujatuhahikishia kama alishindwa kweli maana wengi tunaamini on the contrary, kwamba alishinda ila kachakachuliwa na wenye kutaka kuendelea kula a big portion of this coutnry, na wengine you dont want to see that....sasa hata tukijadili kama wanahudhuria au la, how does it help you if you dont believe kuwa uchaguzi ulikuwa na walakini nyingi?
 
Kadogoo ulitaka Kikwete alipohapisha na Dk. Slaa angehapishwa vilele kama kule Ivory Coast?? CHADEMA ni wastarabu sana hawakufanya hivyo. Ila mizengwe ya kutobadili katiba isiposhugulikiwa itabidi CHADEMA wafanye hivyo.
 
Jamani mbona hatupati jibu nauliza tena chadema watahudhuria sherehe za uhuru na kususia hotuba ya rais leo ktk sherehe za miaka 49 za uhuru wetu.
 
Back
Top Bottom