CHADEMA kugawa kura za CUF Kinondoni kama ilivyokuwa Segerea?

Unadhan kila mtu anahongeka kirahisi?
HIVI WEWE HUJIULIZI CHADEMA WAMESUSIA UCHAGUZI WA LONGIDO,SONGEA NA SINGIDA .

LEO KATIKA JIMBO LA KINONDONI NA SIHA WANASHIRIKI UCHAGUZI KAMA SIO KUOGWA HAPO NINI.

KWA KIFUPI MBOWE AMEISALITI UKAWA NA CHADEMA AMESHAVUTA CHA KWAKE MAPEMA .
 
WATU WENGINE BANA KWAIYO CHADEMA MNASHIRIKI UCHAGUZI KINONDONI KWA SABABU LIPUMBA KAWEKA WAGOMBEA.

NA MGOMBEA WENU AKIGOMBEA NDIO MNATAKA AUGWE MKONO NA UKAWA KWA SABABU MNAITAJI APIGIWE KURA NA WATU WA CUF,NLD NA NCCR.

ILA AKIGOMBEA MGOMBEA WA NCCR AU CUF MNAWEKA MGOMBEA KWA KIGEZO ETI CUF LIPUMBA LAKINI YOTE TISA KUMI
MMEJIPANGA KUHAKIKISHA CCM INASHINDA TUSIDANGANYANE
Kujibizana na mtu kama wewe ni sawa na mtu kumsikiza BASHITE tu. Inamana wewe ndio unaiamulia CHADEMA cha kufanya lini na wapi
 
CUF-CCM ndiyo imesimamisha mgombea, kwa vile CUF -Ukawa haiwezi kuweka mgombea basi Chadema ndiyo itaibeba UKAWA.
CHADEMA KAMA KAMATI MKUU MLIKAA NA MKAPANGA KUSHIRIKI UCHAGUZI MKUU NA MKISHIRIKI NYINYI NDIO IMESHIRIKI UKAWA.

CUF NA NCCR KAMATI KUU YAO IKIPANGA KUMSHIMAMISHA MGOMBEA BASI HUYO ATAMBULIKI NA UKAWA ILA AKISIMAMA WA CHADEMA NDO ATAMBULIKE NA UKAWA.

ACHA ULIMBUKENI KIJANA
 
Wewe ndiye limbukeni kama ungesoma andiko langu ukiwa na akili timamu usingetoa huu upupu wako wa usela mavi.
 
Wakati CUF wakijipanga ni jinsi gani ya kurudisha jimbo la Kinondoni kupitia ukawa baada ya mbunge wao kujiondoa.

CHADEMA nao wanajipanga kuweka mgombea jimbo la Kinondoni kama ilivyokuwa jimbo la Segerea.

Kitendo cha CHADEMA kuweka mgombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio ni dhahiri ni kwamba wanajipanga kumpa ushindi Mtulia kwa sababu wanajua kura zitagawanyika .

Hivyo ushiriki wa CHADEMA jimbo la Kinondoni ni kwamba wamejianda kugawa kura za CUF ili CCM aibuke mshindi.
Chadema washasusa chaguzi za marudio...washabadili tena gia angani.
 
Wakati CUF wakijipanga ni jinsi gani ya kurudisha jimbo la Kinondoni kupitia ukawa baada ya mbunge wao kujiondoa.

CHADEMA nao wanajipanga kuweka mgombea jimbo la Kinondoni kama ilivyokuwa jimbo la Segerea.

Kitendo cha CHADEMA kuweka mgombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio ni dhahiri ni kwamba wanajipanga kumpa ushindi Mtulia kwa sababu wanajua kura zitagawanyika .

Hivyo ushiriki wa CHADEMA jimbo la Kinondoni ni kwamba wamejianda kugawa kura za CUF ili CCM aibuke mshindi.
Manyo'anokho,, ni KAFU gani iliyosimamisha mgombea huko Kino? Hii ya Lipumbavu? Wacha kura zigawike hakuna namna!
 
Wakati CUF wakijipanga ni jinsi gani ya kurudisha jimbo la Kinondoni kupitia ukawa baada ya mbunge wao kujiondoa.

CHADEMA nao wanajipanga kuweka mgombea jimbo la Kinondoni kama ilivyokuwa jimbo la Segerea.

Kitendo cha CHADEMA kuweka mgombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio ni dhahiri ni kwamba wanajipanga kumpa ushindi Mtulia kwa sababu wanajua kura zitagawanyika .

Hivyo ushiriki wa CHADEMA jimbo la Kinondoni ni kwamba wamejianda kugawa kura za CUF ili CCM aibuke mshindi.
Wakati Msaliti Mtulia anapewa ubunge kwa gharama ya Jasho na damu , Lipumba wa ccm alikuwepo ? Kwanini leo anajifanya anaweka mgombea cuf ?
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Wakati CUF wakijipanga ni jinsi gani ya kurudisha jimbo la Kinondoni kupitia ukawa baada ya mbunge wao kujiondoa.

CHADEMA nao wanajipanga kuweka mgombea jimbo la Kinondoni kama ilivyokuwa jimbo la Segerea.

Kitendo cha CHADEMA kuweka mgombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio ni dhahiri ni kwamba wanajipanga kumpa ushindi Mtulia kwa sababu wanajua kura zitagawanyika .

Hivyo ushiriki wa CHADEMA jimbo la Kinondoni ni kwamba wamejianda kugawa kura za CUF ili CCM aibuke mshindi.
Kwahiyo unaosema wanajipanga ndio hawa CUF-Lipumba? ndiyo unataka CHADEMA isiweke mgombea?

NI MPAMBANO MKALI KINONDONI.
..

MGOMBEA WA CUF ACHUKUA FOMU KWA MBWEMBWE, KINONDONI YA SIMAMA KWA MUDA.
.
Na David Maphone.

MKURUGENZI WA HABARI NA UMMA CUF TAIFA ABDUL KAMBAYA GUMZO LA JIJI AU KIM JONG II AONGOZA SHUGHULI NZIMA.
.

Kama kuna uchaguzi mgumu kwa CCM ni huu wa Jimbo la KINONDONI hasa baada ya Chama cha wananchi Cuf kumsimamisha Mgombea Makini Mheshimiwa Rajab Salim kipenzi cha wanakinondoni.
.

Katika shughuli za kuchukua FOMU leo ni ujumbe tosha kwamba hali si nyepesi kabisa kwa chama Tawala haswa kutokana na Mgombea wa CCM Mhe Maulid Mtulia kuwakasirisha wapigakura wa jimbo hilo kwa kujitoa na kujiunga na chama cha Mapinduzi kwa hoja zake yeye na sio za wapigakura wake.
.
Pia Shughuli hiyo ilihudhuliwa na Katibu Bora wa kinamama JUKE Kiboko ya Halima Mdee Bi Salama Masoud sambamba na Katiku wa Vijana Wilaya ya Kinondoni Mhe Seleman Masauni na Mkurugenzi wa Habari na Mahusiano ya Umma Wilaya ya Kinondoni Mhe Othuman Machupa.
.

Wanachama Mashuhuli kama Miraji Mtibwiliko na Katibu wa Wilaya ya Kinondoni Mzee Mkandu wajumbe wa kamati nzima ya Utendaji Wilaya ya Kinondoni Pam,oja na Mtaalamu wa Mambo ya uchaguzi Mhe Abdul Hamza Sungura,
.

Kikosi cha uhamasishaji kutoka Makao makuu Maaruf kama TEM MKAKATI kilishiriki kwa nguvu kubwa wafuasi wa Mungiki wakiongozwa na Katibu wao walifika katika shughuli hiyo muhimu.

Viongozi wa Wilaya za Temeke, Ubungo, Ilala Kigamboni pia walishiriki kumsindikiza mgombea makini Mhe Rajab Salim kuchukua FOMU.
.

SIFA KUU ZA MHESHIMIWA RAJABU.
.

Kwa sisi tuliowahi kufanya nae kazi Mhe Rajab Salim tunaona wakazi wa Kinondoni wamepata mgombea sahihi kwa wakati sahihi.

1 Kwanza ni Mcha mungu haswa na mwadilifu wa moyo na matendo yake.

2. Pili ni mchapakazi kweli kweli na hapendi utani kwenye maswala ya msingi.

NITAZITOA SIFA ZA MGOMBEA HUYU BADAE STAY TUNE.

[HASHTAG]#NaBado[/HASHTAG] David Maphone katika ubora wake miaka 800
 
Una jua kuna cuf ngapi?naipi niukawa naipi lipumba?nani ipi in simamisha mgombea?
; zxB̲̅][̲̅̅I̲̅][̲̅̅R̲̅][̲̅̅T̲̅ ][̲̅̅H̲̅][̲̅̅D̲̅][̲̅̅A̲̅][̅̅Y̅
Katika uchaguzi wa marudio katika majimbo ya songea mjini, longido na singida kaskazini chadema walisema hawatashiriki uchaguzi

Lakini katika jimbo la kinondoni chadema wanajipanga kushiriki uchaguzi wa kinondoni lakini swali langu ilikuwaje chadema mje kushiriki uchaguzi kinondoni.

Jimbo la kinondoni ndo jimbo ambalo linajulikana wazi CUF ndio wana nguvu na ndio wanajipanga kwa nguvu zote ili kurudisha jimbo la kinondoni sasa iweje chadema ashiriki jimbo la kinondoni.

Jibu hapa ni moja tuu chadema wamejipanga kuipa ccm ushindi jimbo la kinondoni kwa sasa sababu wanajua watagawa kura za upinzani halafu ccm ikishinda tuanze kulalamika kuhusu tume

Ukweli ni kwamba chadema wanaipa ccm ushindi kinondoni
 
Kwahiyo unaosema wanajipanga ndio hawa CUF-Lipumba? ndiyo unataka CHADEMA isiweke mgombea?
Mkuu hiyo signature yako itoe basi,, inanikumbusha machungu ya kale kazee. Hivi hakajafaga tu?
 
KWAIYO TUKISEMA CHADEMA NA MBOWE WAMEOGWA NA CCM ILI KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KINONDONI UTAKAA UTASHINDA
Sasa ikishinda CCM na ikishinda CUF ya Lipumba kuna tofauti gani??
Mi nakuambia kuna wana-CUF kuliko wampe kura Mgombea wa CUF-Lipumba bora waipe tu CDM
 
Back
Top Bottom