CHADEMA kugawa kura za CUF Kinondoni kama ilivyokuwa Segerea?

Kifaru86

JF-Expert Member
Apr 22, 2017
1,734
3,802
Wakati CUF wakijipanga ni jinsi gani ya kurudisha jimbo la Kinondoni kupitia ukawa baada ya mbunge wao kujiondoa.

CHADEMA nao wanajipanga kuweka mgombea jimbo la Kinondoni kama ilivyokuwa jimbo la Segerea.

Kitendo cha CHADEMA kuweka mgombea jimbo la Kinondoni katika uchaguzi wa marudio ni dhahiri ni kwamba wanajipanga kumpa ushindi Mtulia kwa sababu wanajua kura zitagawanyika .

Hivyo ushiriki wa CHADEMA jimbo la Kinondoni ni kwamba wamejianda kugawa kura za CUF ili CCM aibuke mshindi.
 
ukawa ni sub set ya chadema.. chadema ni universal set
MIMI NAONA ILI NENO UKAWA LIFEEE TUU KUANZIA LEO.

KILA CHAMA KISHIRIKI UCHAGUZI KAMA CHAMA HAYA MAMBO YA UKAWA NI UNAFIKI MTUPU.

CHADEMA KAMA HASHIRIKI UCHAGUZI ANATUMIA NEMBO YA UKAWA HATUTOSHIRIKI UCHAGUZI .

CHADEMA KAMA AKISHIRIKI UCHAGUZI ANASEMA WAO KAMA KAMATI KUU WAMEONA WASHIRIKI UCHAGUZI UCHAGUZI

MIMI HIKI KITU UKAWA NAONA NI WIZI MTUPU
 
WAKATI CUF WAKIJIPANGA NI JINSI GANI YA KURUDISHA JIMBO LA KINONDONI KUPITIA UKAWA BAADA YA MBUNGE WAO KUJIONDOA.

CHADEMA NAO WANAJIPANGA KUWEKA MGOMBEA JIMBO LA KINONDONI KAMA ILIVYOKUWA JIMBO LA SEGEREA...

KITENDO CHA CHADEMA KUWEKA MGOMBEA JIMBO LA KINONDONI KATIKA UCHAGUZI WA MARUDIO NI DHAHIRI NI KWAMBA WANAJIPANGA KUMPA USHINDI MTULIA KWA SABABU WANAJUA KURA ZITAGAWANYIKA .

HIVYO USHIRIKI WA CHADEMA JIMBO LA KINONDONI NI KWAMBA WAMEJIANDA KUGAWA KURA ZA CUF ILI CCM AIBUKE MSHINDI
Wachaga wabinafsi sana!
 
Katika uchaguzi wa marudio katika majimbo ya songea mjini, longido na singida kaskazini chadema walisema hawatashiriki uchaguzi

Lakini katika jimbo la kinondoni chadema wanajipanga kushiriki uchaguzi wa kinondoni lakini swali langu ilikuwaje chadema mje kushiriki uchaguzi kinondoni.

Jimbo la kinondoni ndo jimbo ambalo linajulikana wazi CUF ndio wana nguvu na ndio wanajipanga kwa nguvu zote ili kurudisha jimbo la kinondoni sasa iweje chadema ashiriki jimbo la kinondoni.

Jibu hapa ni moja tuu chadema wamejipanga kuipa ccm ushindi jimbo la kinondoni kwa sasa sababu wanajua watagawa kura za upinzani halafu ccm ikishinda tuanze kulalamika kuhusu tume

Ukweli ni kwamba chadema wanaipa ccm ushindi kinondoni
 
Kwani CUF ya Lipumba ipo UKAWA?
WATU WENGINE BANA KWAIYO CHADEMA MNASHIRIKI UCHAGUZI KINONDONI KWA SABABU LIPUMBA KAWEKA WAGOMBEA.

NA MGOMBEA WENU AKIGOMBEA NDIO MNATAKA AUGWE MKONO NA UKAWA KWA SABABU MNAITAJI APIGIWE KURA NA WATU WA CUF,NLD NA NCCR.

ILA AKIGOMBEA MGOMBEA WA NCCR AU CUF MNAWEKA MGOMBEA KWA KIGEZO ETI CUF LIPUMBA LAKINI YOTE TISA KUMI
MMEJIPANGA KUHAKIKISHA CCM INASHINDA TUSIDANGANYANE
 
Afadhali ishinde ccm kuliko cuf lipumba, katurudisha nyumu sana huyu mzee yeye na sakaya kwa sababu ya tamaa ya hela za ccm.
 
Katika uchaguzi wa marudio katika majimbo ya songea mjini, longido na singida kaskazini chadema walisema hawatashiriki uchaguzi

Lakini katika jimbo la kinondoni chadema wanajipanga kushiriki uchaguzi wa kinondoni lakini swali langu ilikuwaje chadema mje kushiriki uchaguzi kinondoni.

Jimbo la kinondoni ndo jimbo ambalo linajulikana wazi CUF ndio wana nguvu na ndio wanajipanga kwa nguvu zote ili kurudisha jimbo la kinondoni sasa iweje chadema ashiriki jimbo la kinondoni.

Jibu hapa ni moja tuu chadema wamejipanga kuipa ccm ushindi jimbo la kinondoni kwa sasa sababu wanajua watagawa kura za upinzani halafu ccm ikishinda tuanze kulalamika kuhusu tume

Ukweli ni kwamba chadema wanaipa ccm ushindi kinondoni
Cuf ile haramu ndio unaizungumzia au?
 
Afadhali ishinde ccm kuliko cuf lipumba, katurudisha nyumu sana huyu mzee yeye na sakaya kwa sababu ya tamaa ya hela za ccm.
KWAIYO TUKISEMA CHADEMA NA MBOWE WAMEOGWA NA CCM ILI KUHAKIKISHA CCM INASHINDA KINONDONI UTAKAA UTASHINDA
 
Back
Top Bottom