CHADEMA kufungua shauri Mahakama Kuu ili kuitaka ieleze kama bunge lina mamlaka ya kumuadhibu mbunge

Francis12

JF-Expert Member
Sep 30, 2016
7,533
22,276
Chama cha Demokrasia na maendeleo CHADEMA kupitia Mwanasheria Mkuu wa Chama hicho Tundu Lissu wanatarajia kufungua shauri Mahakama Kuu ili kuitaka ieleze kama bunge lina mamlaka ya kumuadhibu mbunge bila kupewa nafasi ya kujitetea.
 
kesi ya makonda na bodi ya mikopo VP, lisu ela yote ya chadema anaichukua kama legal fee.
 
chadema tunaomba report zenu za fedha, hapa nanusa ufisadi, hizo ni pesa za uma.
 
Kosa la kinidhamu usikilizwe nini sasa? Yaani ni sawa na mzazi anamkuta mtoto anaiba halafu anampa nafasi ya kujitetea.. ni kulea maovu.
Kanuni za bunge ziko wazi, zinaruhusu adhabu kutolewa pasipo watuhumiwa kujitetea. Ama kweli nyumbu atabaki kuwa nyumbu tu. Wenye akili zao wanayaendesha wanavyotaka,
 
Kanuni namba ngapi hiyo?
 
Back
Top Bottom