CHADEMA kufanya mkutano na Waandishi wa Habari Julai 31

zandrano

JF-Expert Member
Jan 24, 2017
3,845
2,000
Chadema lazima iangaliwe kwa jicho la tatu, kama mwenyekiti wa chama alikuwa Katili wa kupanga mauaji ya watu wengine, je hao walio chini yake na wafuasi aliwafundisha kitu gani kama sio uhalifu na ujambazi?! inawezekana sio wote lkn baadhi yao lazima wafuatiliwe ili kubaini matendo yao na wachukuliwe hatua kali za kisheria.
Tunamshauri Msajili wa Vyama vya siasa afute huu mkusanyiko wa wahalifu walio jificha kwenye mwamvuli wa chama cha kisiasa.
Amani ya nchi yetu lazima italindwa kwa gharama yoyote ile, hatuko kuona kikundi cha watu wachache kinajaribu kuchezea amani ya nchi yetu.
kamwe hato chekewa mtu yeyote.
 
kipara20

JF-Expert Member
Jul 30, 2021
844
1,000
Yaani umewahi kuandika ungesebiri kidogo tu ungeona kaandika hayo ushabiki maandazi eti sasahivi anasema nchi haitawaliki nani kasema wakatileo tunapokea ndege yetu mpya

hakuna uhusiano wowote kati ya kununua ndege na utawala bora acheni upumbavu nyie ccm
 
MpendaTz

JF-Expert Member
May 15, 2009
1,817
2,000
Naamini John Mnyika yuko smart upstairs na ndiyo maana hajawai kuwa involved na Kash Kash za Polisi.

CHADEMA haina leadership iliyo sober zaidi ya Mnyika. Sitegemei kama ataleta kauli za eti maandamano ya kutaka kushinikiza Mbowe atoke.

Mbowe alipopokea Tsh 10 Billion mwaka 2015 kwa kutoka kwa Lowassa aligawana na Edwin Mtei na Maalim Seif na kumfanya Lowassa awe mgombea Urais badala ya Dr Slaa.

Muache atumikie laana ya Dr Slaa
Mkuu hebu weka nyama zaidi kwenye hiin tuhuma ya Tshs. 10 Billion itatusaidia kuzidi kuzifahamu siasa zetu.
 
aise!
 
Hamatan

JF-Expert Member
Nov 10, 2020
1,893
2,000
Hawana cha kuongea sasa hivi wasubiri mahakama wakiendelea kuchokoza wanatengeneza makosa mengine Mbowe ndiyo kafika hapo
Kwani hii nchi kuna utawala wa sheria?

Hii nchi unaweza kufanya kosa, usifanywe chochote, unaweza kufuata sheria zote, na bado ukakamatwa na kubambikiwa makosa makubwa ya kuozea jela.
 
Stuxnet

JF-Expert Member
Feb 12, 2011
5,132
2,000
Mkuu hebu weka nyama zaidi kwenye hiin tuhuma ya Tshs. 10 Billion itatusaidia kuzidi kuzifahamu siasa zetu.
Lowassa hakuja bure CHADEMA bali alikuja kwa fedha yake ambbayo ni hiyo Tsh 10 Billion. Mkakati wa UPINZANI mwaka 2015 ilikuwa through UKAWA.

Kwa Rais wa Muungano Dr Slaa alikuwa tayari popular kuliko mgombea yeyote yule. Mbowe na CDM walitumia muda wao wote wa 2008 hadi 2015 kimpakaza matope Lowassa kuwa ni FISADI kwa ile kashfa ya RICHMOND. Isingekuwa rahisi kimpokea hivihivi kwa kisingizio kuwa eti ndiye mgombea pekee anayeweza kuishinda CCM kwa mwaka ule. Huo ulikuwa ni uwongo tu kutetea hiyo fedha waliyochukua kwa Lowassa na kugawana na Baba mkwe wake Mtei na mgombea wa ZNZ Maalim Seif.

Hawa akina Lissu na Mnyika walipata kiasi cha mboga tu kufunga mdomo. Ukitaka ushahidi tafuta zile picha mtoto wa Mbowe alikuwa anafiri kwenda Hongkong kati ya September na December 2015. Alikwenda kufungua akaunti benki ya HSBC.

Na hiyo ndiyo sababu iliyomchefua Dr Slaa na Prof Lipumba ambao jamii inawaona ni wasaliti wa UPINZANI mpaka sasa. Ni fedha tu no more
 
ostrichegg

JF-Expert Member
Jun 30, 2013
11,098

Ndugu,
Kama KWELI una hakika na uyasemayo na PIA unao ushahidi/vielelezo, basi enenda HARAKA ukaviwakilishe Polisi/TAKUKURU.
LABDA utaweza kuwasaidia sana hao ambao kwa sasa wanahangaika sana na kung'ang'aniza shutuma za kubambika.
Mungu wa kweli na haki yu hai. AMEN.
 
Nina shughuli zingine za kufanya sina muda na TAKUKURU. Ila kama wewe ni mtu makini ungejifunza kitu behind Siasa za mwaka 2015 na kusambaratika kwa Dr Slaa na Prof Lipumba. Mbowe alimuuzia Liwassa Ugombea urais wa CDM. Sikulazimishi kuamini
 
MpendaTz

JF-Expert Member
May 15, 2009
1,817
2,000
Hivi nikikueleza mawazo yangu kuwa Lowasa alitumwa kwenda kuua upinzani na alitumwa na mapesa yoote hayo ili akawanunue na kuwasambaratisha utakataa?
Ukisita kuamini, jiulize ni kwanini Dr Slaa aliondoka akahamia nje ya nchi, lakini wakaona jambo halitakamilika kuna aliyestahili kitu kidogo, wakaenda kumchukua kumbembeleza na kumpa kazi ya kwenda kukaa mapumzikoni.
Swali lingine, kwanini Lipumba aliikata kata CUF vipande halafu akakimbilia Rwanda kwa muda kipindi kile cha uchaguzi? Halafu akarudi baada ya uchaguzi kuja kumaliza hiyo kazi?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom