Mungu ibariki ChademaKesho Jumanne saa tano kamili asubuhi tutakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.
Waandishi wote mnakaribishwa, tunashauri kuzingatia protocol zote za kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.View attachment 1894978
Kwa press?tusikate tamaaMungu ni mwema soon tutamshinda dictator wa kike
MATAGA wameanza kulipwa? Naona wiki mbili hizi wamerudi kutoka mafichoni.
Sasa si muda muafa wa katibu kula pesa za Saccos ya chadema ,maana mwenye chama Yuko sello na walishasema hawatashughulika naye.Maskini CHADEMA kila siku press hadi mnatia aibu
USSR
Mnashindwa hata kuendesha pages zenu kwenye social medias huyo dikteta mtamshindaje? Social medias ndiyo njia nafuu na haraka kuwafikia watu wengi katika age hii, nyie bado mnapambana kufanya mikutano ya hadhara, njia iliyopitwa na wakati na expensive! Angalieni accounts za wapinzani wenu kwenye mitandao, zipo very active! Hata ukifananisha CCM App na CDM App ni mbingu na nchi, CCM App wanaupdate mara kwa mara, CDM App ipo vile vile kila siku, miambiwa mnaita watu BK7 and Lumumbatusikate tamaaMungu ni mwema soon tutamshinda dictator wa kike
Masikini kodi zetu zinavyoliwa! Kumbe ndiyo maana orodha ya products za mikesha ya mwenge imeongezeka ghafla! Hebu shuhudieni hapa...MATAGA wameanza kulipwa? Naona wiki mbili hizi wamerudi kutoka mafichoni.
Weka na ile timu "magaidi" mkuu, ambao bila gaidi mkuu hawapati milo 3Masikini kodi zetu zinavyoliwa! Kumbe ndiyo maana orodha ya products za mikesha ya mwenge imeongezeka ghafla! Hebu shuhudieni hapa...
OMBI: Tafadhali sana kama unajua unazo sifa na ungependa jina lako lionekane katika hii orodha, nitumie ujumbe.
- JUMA JUMA
- Kamanda Asiyechoka
- Wakudadavuwa
- zandrano
- shamimuodd
- Redpanther
- GENTAMYCINE
- Jasusi Mbobezi
- Elitwege
- Idugunde
- Jumbe Brown
- johnthebaptist
- USSR
- Magonjwa Mtambuka
- Dr Akili
- Janjaweed
- mtanzania1989
- Phillipo Bukililo
- Mr Dudumizi
- digba sowey
- IDEGENDA
- Niza doyi
- Kivumishi Kielezi
- Gerald .M Magembe
- Jasusi Mbobezi
- Jay One
- Stuxnet
- Ezekiel Mbaga
- Latvia
- Iboya2021
- Ritz
- mama D
- Psalm 23
- Shambaboy jogoli
- Pulchra Animo
- BUSH BIN LADEN
- No signal
- Lord OSAGYEFO
- fisi 2
- Naipendatz
Huo ndiyo uhuru wa maoni unautumia kutuita MATAGA na hapo ndiyo makosa makubwa ya CDM. Mnataka musifiwe hata kwa mambo ya kipumbavu kwa sababu tu amefanya Mbowe??Masikini kodi zetu zinavyoliwa! Kumbe ndiyo maana orodha ya products za mikesha ya mwenge imeongezeka ghafla! Hebu shuhudieni hapa...
OMBI: Tafadhali sana kama unajua unazo sifa na ungependa jina lako lionekane katika hii orodha, nitumie ujumbe.
- JUMA JUMA
- Kamanda Asiyechoka
- Wakudadavuwa
- zandrano
- shamimuodd
- Redpanther
- GENTAMYCINE
- Jasusi Mbobezi
- Elitwege
- Idugunde
- Jumbe Brown
- johnthebaptist
- USSR
- Magonjwa Mtambuka
- Dr Akili
- Janjaweed
- mtanzania1989
- Phillipo Bukililo
- Mr Dudumizi
- digba sowey
- IDEGENDA
- Niza doyi
- Kivumishi Kielezi
- Gerald .M Magembe
- Jasusi Mbobezi
- Jay One
- Stuxnet
- Ezekiel Mbaga
- Latvia
- Iboya2021
- Ritz
- mama D
- Psalm 23
- Shambaboy jogoli
- Pulchra Animo
- BUSH BIN LADEN
- No signal
- Lord OSAGYEFO
- fisi 2
- Naipendatz
Weka na ile timu "magaidi" mkuu, ambao bila gaidi mkuu hawapati milo 3