CHADEMA kufanya mkutano na waandishi wa habari Agosti 17

mshale21

JF-Expert Member
Apr 8, 2021
2,050
4,903
Kesho Jumanne saa tano kamili asubuhi tutakuwa na mkutano na Waandishi wa Habari, Makao Makuu ya Chama, Kinondoni.

Waandishi wote mnakaribishwa, tunashauri kuzingatia protocol zote za kujikinga na maambukizi ya virusi vya Corona.​

IMG_20210816_224016.jpg
 
MATAGA wameanza kulipwa? Naona wiki mbili hizi wamerudi kutoka mafichoni.
 
Na CHADEMA yanataka kuwaomba michango. Waandishi msiende Kwa hao madebe tupu mtaombwa tu hela.
 
Maskini CHADEMA kila siku press hadi mnatia aibu

USSR
Sasa si muda muafa wa katibu kula pesa za Saccos ya chadema ,maana mwenye chama Yuko sello na walishasema hawatashughulika naye.

Poor DJ Mbowe
 
tusikate tamaaMungu ni mwema soon tutamshinda dictator wa kike
Mnashindwa hata kuendesha pages zenu kwenye social medias huyo dikteta mtamshindaje? Social medias ndiyo njia nafuu na haraka kuwafikia watu wengi katika age hii, nyie bado mnapambana kufanya mikutano ya hadhara, njia iliyopitwa na wakati na expensive! Angalieni accounts za wapinzani wenu kwenye mitandao, zipo very active! Hata ukifananisha CCM App na CDM App ni mbingu na nchi, CCM App wanaupdate mara kwa mara, CDM App ipo vile vile kila siku, miambiwa mnaita watu BK7 and Lumumba
 
MATAGA wameanza kulipwa? Naona wiki mbili hizi wamerudi kutoka mafichoni.
Masikini kodi zetu zinavyoliwa! Kumbe ndiyo maana orodha ya products za mikesha ya mwenge imeongezeka ghafla! Hebu shuhudieni hapa...
  1. JUMA JUMA
  2. Kamanda Asiyechoka
  3. Wakudadavuwa
  4. zandrano
  5. shamimuodd
  6. Redpanther
  7. GENTAMYCINE
  8. Jasusi Mbobezi
  9. Elitwege
  10. Idugunde
  11. Jumbe Brown
  12. johnthebaptist
  13. USSR
  14. Magonjwa Mtambuka
  15. Dr Akili
  16. Janjaweed
  17. mtanzania1989
  18. Phillipo Bukililo
  19. Mr Dudumizi
  20. digba sowey
  21. IDEGENDA
  22. Niza doyi
  23. Kivumishi Kielezi
  24. Gerald .M Magembe
  25. Jasusi Mbobezi
  26. Jay One
  27. Stuxnet
  28. Ezekiel Mbaga
  29. Latvia
  30. Iboya2021
  31. Ritz
  32. mama D
  33. Psalm 23
  34. Shambaboy jogoli
  35. Pulchra Animo
  36. BUSH BIN LADEN
  37. No signal
  38. Lord OSAGYEFO
  39. fisi 2
  40. Naipendatz
OMBI: Tafadhali sana kama unajua unazo sifa na ungependa jina lako lionekane katika hii orodha, nitumie ujumbe.
 
CCM haiwezi kutoka madarakani kwa vikao, semina, makongamano na press hizi..

Labda muwe wavumilivu mpaka wananchi wenyewe automatic tu waichoke CCM waitoe na nyie mpate unafuu hapo kama fisi....
 
Je party trategists wa CDM ni nani? CDM ina vijana wasomi wazuri wengi kama akina Jon Mrema, Godlisten Malisa, Tumaini Makene, John Mnyika nk.

Vijana hawa badala muwatumie kutengeneza mikakati nyie mnawatumia kuandika kejeli mitandaoni na matusi

Kwa nini msiwatumie hao vijana wawawekee mikakati tu ya namna gani Siasa zenu ziendeshwe kipindi hiki cha 2021- 25. Naamini kabisa kama mungekuwa na timu ya MKAKATI basi Mdude mungepanga akapumzike kwanza, apate mental and psychological rehabilitation ndipo maybe baada ya miezi 6 aanze kujishughulisha na Siasa.

Nawahakikishia CDM Watanzania wamechoka Siasa za matusi na dharau, mukienda hivyo kuomba kura WATAWADHARAU
 
Weka na ile timu "magaidi" mkuu, ambao bila gaidi mkuu hawapati milo 3
 
Huo ndiyo uhuru wa maoni unautumia kutuita MATAGA na hapo ndiyo makosa makubwa ya CDM. Mnataka musifiwe hata kwa mambo ya kipumbavu kwa sababu tu amefanya Mbowe??
 
Mnyika juzu juzi hapa hukueleweka vizuri
Leo uongee vitu vya maaana watu tunataka kukiweka kwenye magazeti ..magazeti yawe na soko uraiani huku
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom