Chadema kufanya marekebisho kwenye baraza la Mawaziri Kivuli

Nimefika hapa uwanjani upepo ukiwa umetulia,baridi kama kawa hapa Arush na watu wameanza kujitokeza ktk mkutano huu uliomahsusi kuzindua mpango uitwao 'VUA GAMBA VAA GWANDA' karibuni sana ktk eneo hili maarufu 'chadema square' 2peane updates..
 
Back
Top Bottom