CHADEMA kuendeleza mapambano dhidi ya Ufisadi? Thubuuutu!

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Nimesikia kauli ya Kiongozi mmoja wa CHADEMA kwamba Chama chake kitaendeleza Mapambano dhidi ya Ufisadi! Ni kichekesho kweli maana Ajenda hiyo walishaitupa kitambo baada ya kuwa Vigeugeu!
CHADEMA KWA SASA HAINA SERA WANAYOISIMAMIA ZAIDI YA KUSEMA WANATAKA KUIONDOA CCM MADARAKANI KWA GHARAMA YOYOTE HATA KWA KUMTUMIA SHETANI!!! TEH TEH TEH!
 
Back
Top Bottom