chadema kuchukua ushindi wa udiwani kwa kishindo katika kata ya ifakara

miti

Senior Member
Jun 16, 2012
136
23
jamani pamoja na kuchomewa pikipiki ya chadema na kumjerui mgombea wa chadema katika kata ya minepa lakini bado mungu hajatutenga, tumeweza kupata ushindi wa kishindo katika kata Ifakara ambapo CCM wamepata kura 3743 na chadema kupata kura 4373 hivyo ni jambo la kumshukuru M/mungu wanaifakara sasa wameanza kuamka. tunasubiri akaapishe bomani na tunampeleka kwa maandamano ya hari ya juu peopleeeeeeeeeeeeeeeeeeee!!
 
Maandamano kumsindikiza Diwani Mteule Peter Lijuakali kwenda kuapishwa bomani sasa hivi Ifakara. Diwani mpya amefuta kodi zote kandamizi ndani ya Kata ya Ifakara.

Baadhi ya picha wananchi wakisukuma gari lenye Diwani Mteule wa CHADEMA Peter LijuaKali, Mh Peter Kibatala (Mbunge Mtarajiwa wa Kilombero) Akimwaga sera haonekani pichani, na wananchi wakipokea sera za CHADEMA
 
Mkuu miti hiyo nafasi ndio ilikuwa wazi baada ya kifo cha Rama Kiombile?
 
Last edited by a moderator:
tulianza mungu tunaendelea na mungu na tutamaliza na mungu,Mungu ibariki cdm,mungu ibariki tz.
 
Peter kibatala ajiandae kushindana na mimi..alijitoa dakika za mwisho 2010 na kukigharimu sana chama..this time no akagombee viti maalum
 
Moyo wangu unafurahi sana kuona wananchi wengi wameanza kutoka usingizini. CCM wajiandaye kukabidhi magogoni 2015!
 
Back
Top Bottom